sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
1. Safari yake ilianzia katika kipindi cha TV kilichokua kinafatiliwa na wengi, Mkasi.. Huku akitumia zaidi ya dk. 15 [mda wa kipindi ni dk. 30] kuelezea mapenzi yake "ya dhati" kwa Simba, nini ameshaifanyia Simba na kwanini apewe "auziwe" timu.
2. Kesho yake Magazeti yote, Blog zote za michezo, Mitandao ya kijamii vyote "Mo aitaka Simba".
3. Haikuchukua round, Mara T Shirt za kumpigia kampeni apewe timu zikawa mtaani, Mara vikundi katika mitandao ya kijamii vikaanzishwa ili kumsapoti apewe timu pia "wachambuzi" wa soka wakaanza kuandika kwanini Mo ni mtu sahihi na pekee wa kupewa timu.
3. Baada ya hapo kukawa kimya.. Ilipobaki kama wiki moja ili kufanyika Mkutano Mkuu.. Wanachama "wachache" wakaanza kujazana Msimbazi.. Kushinikiza Mo apewe timu.. Magazeti nayo hayakua nyuma.. "Wanachama lukuki [lundo] waandamana Mo apewe timu"
4. Siku 1 kabla ya Mkutano Mkuu.. Mo anaita vyombo vyote vya habari nchini na kumwaga ahadi lukuki endapo atapewa timu.. Huku akijua usajili unasua sua kwa sababu ya ukata, akanena "nipeni timu niwasaidie katika usajili".
5. Siku ya Mkutano.. Magazeti yote yanaelezea kwa nini Mo apewe timu [na si kwanini asipewe]. Mda wa Mkutano kila Mwanachama ni Mo.. Mo.. Mo..
6. Siku 2 baada ya mkutano, Mo anakabidhi Milioni 100 kama msaada wake katika usajili.
7. Mwezi mmoja baada ya Mkutano, Mo akabidhi Milioni ... kwa ajili ya ...
8. Miezi mitatu baada ya Mkutano, Mkuu, hatimae mchakato wa Simba S.C kua Kampuni wakamilika huku Mo akikabidhiwa umiliki hisa asilimia ... za Simba S.C. [... kwa sababu tunapoeleka tunaweza mpatia zaidi ya 51℅]
Hongera "Mfanyabiashara" Mo katika hili.. Nadhani huu msemo wa wahenga "Before you enter into a game, you should learn how to play it rightly" ulikua mwongozo wako.