Elections 2010 Safari ya Mwanza

Freetown

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
882
Reaction score
78
Wakuu tunaomba updates juu ya safari ya Mwanza kwa mgombea wa ccm, je amefika? na nini kinaendelea??
 
Mgombea kwa ngazi ipi, udiwani, ubunge au urais? Kama unamuongelea mtalii nadhani atakuwa bado yuko hospitali anatibiwa manake nasikia ameugua kifafa cha kampeni!
 
Mgombea kwa ngazi ipi, udiwani, ubunge au urais? Kama unamuongelea mtalii nadhani atakuwa bado yuko hospitali anatibiwa manake nasikia ameugua kifafa cha kampeni!

Jakaya Mrisho Kikwete
 
Mkuu umejiunga leo naona umepata kiharusi au tetekuwanga khe khe khe khe kheeeeeeeee.
 
KUNA MAHALI NIMEONA PICHA ZA MWANZA ....HUKO NAKO WATU SI MCHEZO.......!..wa kumwaga
 
Mkuu tumekusikia

umeituma hii post mara 40 na ushee...

Uliyekutuma uje uharibu mijadala, mwambie kazi umeiweza akupe chako utambae

JK anaweza kujitetea kivingine sio kwa wewe kuja kujaza post moja mara 40... ni sawa na mtu kuachia ushuzi kanisani au msikitini
 
Mkuu umejiunga leo naona umepata kiharusi au tetekuwanga khe khe khe khe kheeeeeeeee.

Kaja kwa spidi kweli, kujiunga siku hiyo hiyo na kuweka post 74 zote zikiwa zinasema maneno yale yale tu:

.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…