Safari ya Ndemla kwenda Sweden imeiva, Simba SC yatoa baraka

Simba inaendelea kukuza soka la bongo, wale yeboyebo hawana mchango wowote kwa soka la Tanzania wao wamekalia kupiga domo tu.
 
M
Mungu amsaidie ,angalau tuwe na hata kiungo mmoja anaye cheza ulaya.
Mungu yuko bize kuzuia ligi kati ya USA v N. KOREA, hawezi kuangalia vijambo vidogo kama vya akina Ndemla
Gongo wazi mna matatizo sana nyie vyura fc

Pogba wa tz nchi imekushinda!
Na ninyi Kinyeo nje mna matatizo lukuki tu, mikia fc!
 
M

Mungu yuko bize kuzuia ligi kati ya USA v N. KOREA, hawezi kuangalia vijambo vidogo kama vya akina Ndemla

Na ninyi Kinyeo nje mna matatizo lukuki tu, mikia fc!

Dah! Watu huwaga mnajisahau sana mpaka mnaanza kudharau uwezo wa Mnyezi Mungu sijui ni kiburi au ni maradhi ya ujinga ndio yanayowasumbua. Mungu ana uwezo wa kuyafanya yote hayo na mengine yote yanayoendelea kwa wakati mmoja. Upumbavu wako wa simba na yanga usikufanye ukaleta dharau kwa Mnyezi Mungu ambae ni Muumba wa kila kitu.
 
Upumbavu wako wako pia usiingilie uhuru wangu wa kutoa maoni.
 
Katika timu ya Simba kwa sasa hakuna mchezaji ninayemkubali sana kama Said Ndemla. Nakumbuka alivyoingia kipindi cha pili mechi ya Yanga na Simba huku Yanga ikiongoza 3-0. Ndemla aliingia na kudhibiti sehemu ya kiungo. Ilikuwa hakuna cha Niyonzima wala Ngasa. Mwisho matokeo yakawa 3-3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…