Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Mimi kama ningekuwa mpiga kura kwa hizo hoja mbili za "To end guns in Africa" na "Two African seats in the UN Security Council" ningelimnyima kura yangu outright!Jana Raila Odinga na wenzake walifanyiwa mdahalo ikiwa
ni maandalizi ya kuukwaa uwenyekiti wa AU hapo February 2025
Mtakie neno la heri kwake.
View attachment 3176344
Kwa nini mkuu?Mimi kama ningekuwa mpiga kura kwa hizo hoja mbili za "To end guns in Africa" na "Two African seats in the UN Security Council" ningelimnyima kura yangu outright!
Hata Tanzania huoni kuna guns za utekaji usieleweka?Mimi kama ningekuwa mpiga kura kwa hizo hoja mbili za "To end guns in Africa" na "Two African seats in the UN Security Council" ningelimnyima kura yangu outright!
Ndo hutokaa kuwa mpiga kura kwenye high forums kama hizi.Mimi kama ningekuwa mpiga kura kwa hizo hoja mbili za "To end guns in Africa" na "Two African seats in the UN Security Council" ningelimnyima kura yangu outright!
Kwasababu amesema uongo huku akiwa macho kodo! Mfano, vita ya Morocco na Sahara Magharibi anaimalizaje wakati Morocco sio mwanachama wa AU?Kwa nini mkuu?
Tanzania ni nchi ya amani sana. Mkuu achana na haya ya mitandaoni. Mtu unapiga Konyagi unatembea saa sita usiku bila hofu! Tena unaimba kabisa;Hata Tanzania huoni kuna guns za utekaji usieleweka?
Ahahahahaha! Sio kila mtu ana bahati ya kupata kila kitu! That's equity! Ahahahahaha!!!Ndo hutokaa kuwa mpiga kura kwenye high forums kama hizi.
Wewe unadhani watoto WA Omar al Bashir wanapenda ishu ya silencing guns in Africa???Kwa nini mkuu?
Wana nufaika na nini? na baba yao alikuwa dikteta naWewe unadhani watoto WA Omar al Bashir wanapenda ishu ya silencing guns in Africa???
Washenzi hawaangalii faida,Wana nufaika na nini? na baba yao alikuwa katika dana na
fimbo yake ile.
Ahahahahagq mwana nyimbo gani hiyoTanzania ni nchi ya amani sana. Mkuu achana na haya ya mitandaoni. Mtu unapiga Konyagi unatembea saa sita usiku bila hofu! Tena unaimba kabisa;
"Kokokooo yalala atamile,
"Yalinzagamba yaza mapembee,...!"
Ahahahahaha!!!
Njoo Usukumani!Ahahahahagq mwana nyimbo gani hiyo