Safari ya rais Uhuru, China yatia mkataba na kuifanya Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuuza maparachichi China

Vizuri naona akili zimeanza kurudi, uMatonya sio mzuriπŸ™‚

Inshallah, labda mauzo ya maparachichi yatasaidia kujenga vipande vya SGR kwenda Malaba....
 
How are you going to absorb over 40 per cent of Chinese avocado markets? Are you introducing them for the first time in China? Hizo ni porojo tu kama porojo nyingine, juzi tu wachina wamesign the same deal with Tanzania.
Na hapa ndo amechemka maana maparachichi yenyewe walitegemea kwenda kulangua Iringa na Njombe kumbe waTz wameshakaba sijui constant supply wataipata wapi.
 
Na hapa ndo amechemka maana maparachichi yenyewe walitegemea kwenda kulangua Iringa na Njombe kumbe waTz wameshakaba sijui constant supply wataipata wapi.
Hilo ni mchina kawadanganya kwamba atawapa 40% market share ili wasahau suala la SGR loans kwa sasa, na walivyo pumpkins wakalipokea kama lilivyo wakati its literally impossible
 
Hakuna mtu ameimaliza kenya kama kenyatta yani kaua kila kitu hakuna hata sector moja inayofanya vzr zote hasara juu ya hasaraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Wapi ile render ya pinnacle na montaveπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…