Safari ya rais Uhuru, China yatia mkataba na kuifanya Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuuza maparachichi China

Thank you for the info
 
Mazwazwa kweli. Yaani watu wajinga sawasawa. Mtanzagiza ni mtu wa kusikitisha sana.
 
Off poiint
Stop issuing sermons,instead go and eradicate hunger and all bloody slums in your country
The whole of Dar is a huge slum why not fix your country first. You guys have a log and yet you want to remove a speck from your neighbors eyes.


  • Dar es Salaam Tanzania has one of the third largest slum growth rates in the whole of Africa. ...
  • It is also fascinating to learn that Tanzania has over six million of its people living in the slums and 67% of this 6 million people live in the urban centres like Dar es Salaam.
 
Post a picture to substaintiate your claims
 
Hata ukifika 0%, so long as miradi mikubwa tunafanya kwa pesa zetu, wewe sherehekea habari za kukua uchumi wakati mnanyimwa mikopo kutokana na kushindwa kulipa, hamuwezi hata kujenga kilometa moja kwa pesa zenu.
Miradi mnakopeshwa na mchina tena kwa siri mafala nyie
 
Rais kanyimwa mkopo na wachina kazira hata kazi ,wachina mtaua mtu kwa presha
 
Hapa bongo wachina walisaini mkataba wa kununua mihogo mpk leo ni bila bila.
Hawa watu siyo wa kuaminika. Tukiweka masharti sisi kama tulivyoweka kwenye bandari ya Bagamoyo wanajifanya kususa lakini wao wanapenda kuweka. Ona Lile ''dili'' la maparachichi ya Kenya lilivyo na masharti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…