Safari ya Spika Sitta Urambo baada ya NEC August 2009

Kwa vyovyote vile spika Sitta amejeruhiwa kisiasa. Lakini pia kuna matumaini kidogo mbeleni kwani uimara wa CCM sidhani kama utabaki katika kiwango kilichozoeleka.
 
haya naona kama lawama zinaanza kuhamishiwa
katika ujumla wake kwa wajumbe kutoka zanzibar!

kazi ipo!
 
Kafara,

Usishanga wa Zenji watu wa ajabu saana yote yawezekana maana wenzetu wamezoea kutawaliwa kisultani,
 

- Vive Le JF, yaani hapo kila kitu kutoka hapa, saafi sana tunapofikia haya ya ku-set the tone, tizama hawa viongozi wajinga mwanzoni wakati magazeti yaliyonunuliwa na mafisadi yanapiga kelele na uongo wa yaliyojiri, hawakuona hata sababu ya kusema ukweli, sasa tumewageuzia kibao na ukweli wa yaliyojiri ndio wanaanza kujidai kuweka record straight, halafu bado wanasema uongo kama yale magazeti yao,

- This time JF tumewapa dawa saafi sana, kwa kuwawahi into their game na wale wote tulioleta habari tuzidishe juhudi next time iwe hivi hivi, hawana pa kukimbilia!

Respect.


Field Marshall Es!
 
Jamani hizi habari za Wazanzibar zinatoka wapi?.. Mbona wasemaji wakuu ktk hoja hii ni wajumbe toka bara?..sijaona Mzanzibar hapa! Kisha inawezekana vipi wajumbe wa Zanzibar ambao hawawakilishi swala lolote ambalo linahusiana na madai ya Ufisadi iwe ndio issue kubwa kwao au kuna siri fulani CCM wanashindwa kutuambia..Mkuu Field Marshall Es naomba nielimishe - maanake hainingii kabisa akilini.

Je, yawezekana kuna agenda tofauti kabisa inayohusu maswala ya Zanzibar ambayo ndio yameibua swala la kuhoji utendajki kazi wa Spika Sitta.. kisha Ufisadi ukawa kipengele ktk mjadala mzima kwa sababu nashindwa kabisa kuelewa kwa nini wajumbe wa Zanzibar waanzishe hili vagi..kwa sababu hawana dataz wala hawajui kilichotokea zaidi ya Wajumbe wa bara. na sijaona maelezo ya kina toka kwa mjumbe yeyote wa Visiwani kuhusiana na tukio hili..
 

Tanzania, Tanzania......nakupenda kwa moyo woteeeee. Nchi yangu Tanzaniaaaaaa..........jina lako ni tamu sana.

Sasa ni mambo ya chama tena jamani.....kama anatuhumiwa kwa nini asipelekwe kwenye sheria? Tutangulize UTAIFA na si USISIEMU. Bunge si mali ya SISIEMU ingawa ni majority. Ushabiki huu ni hatari sana kwa maslahi ya TAIFA.
 

Mkuu Bob, heshima mbele sana,

- According to the dataz walioongea kwa jumla ni wajumbe 40, 10 kutoka Bara na 30 kutoka Visiwani, kulikuwa na attention zaidi kwa 10 waliozungumza kutoka Bara kwa sababu tunawafahamu wao na majina yao, kuliko wale wa Visiwani ambao wengi hatuwajui, ndio maana kumekwua na habari za waliosema toka Bara tu,

- Habari kamili ya majina 40 na waliyoyazungumza itatolewa rasmi kwa public kuanzia siku ya Jumatano.

Respect.


FMEs!
 
Je Sitta Sio Fisadi?
Au kanyimwa 10% kama ilivyokuwa kawaida yake zama za BWM? je kuna mwenye kumbukumbu nzuri kuhusu mzee sitta na uadilifu wake?
Kumbukeni vizuri Nani alifukuzwa na Mwl. JK Nyerere baada ya Ubadhirfu wa kiasi cha kutishia Ustawi wa Uanzishwaji wa Makao makuu, Dodoma CDA Enzi za Mwalimu!.
 

Mwizi akiiba, akakamatwa na kufunguliwa mashitaka na kukutwa guilty atahukumiwa kwa mujibu wa sheria. Kama ni jela ataenda kisha atamaliza adhabu yake. Sasa huyo mwizi ana haki ya kurudi katika jamii na kuanzisha maisha yake. Sasa kama huyu mwizi ataendelea kuiba nafikiri atakuwa anahitaji adhabu kali zaidi ya ile aliyopata mwanzoni.

Kwa suala la Sitta unaweza kulinganisha na hilo ingawa sina data kama alifikishwa mbele ya vyombo vya sheria kuhusu ubadhilifu huo ulioutaja.
 

Kuna mwanachama humu aliwahi kuleta hoja ya watu kama nyie kushindwa kujibu hoja na kurukia udini.

Spika hata kama ameunga mkono waraka lakini hakulazimisha wabunge kuufuata,hayo ni maoni yake.

Nimegundua mbinu chafu za mafisadi na watu wao kupenyeza hoja za udini ndani ya hoja kali zinazohusu mustakabali wa nchi.Nia ni kufanya wanajamii wapoteze muelekeo wa kujadili ufisadi na kuanza kuparurana wenyewe kwa wenyewe.
 

Mkulu acha dharau.

Hivi malecela na utumishi wake wote akose hela ya kwenda kupumzika UK?

Kwani kwenda UK ni shilingi ngapi?

Basi tufanye kachangiwa na yule kijana wake alieandaa nyama choma kule DC pamoja na bintie Daktari wa mabusha na matende,Je hawawezi kumchangia mzee wao akapumzike?
 

Si hivyo tu mku Umushoshoro. Mke wake ana biashara kubwa ya nguo tena za viwango!!! Anne tu kwenda UK, America na China kwa shopping ya biashara zake ni kama mimi au yule kusafiri from point A to B mikoani/wilayani/hapa mjini, you name all. Acheni utani. UK kwa Malecela ni kitu gani!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…