Kuna mtu humu simkumbuki aliwahi kuandika uzi usemao "Taifa starrs hatuendi Cameroon" ,ilikuwa hata kabla ya mechi na lesotho na alitoa pointi zake, na aliongea kwa kujiamini sana, naanza kumuamini.......