safari ya yanga yaishia taifa

Mpaka mpira upigwe Tunisia. Sasa ni half time tu.
Yanga oyeeee!
Hivi ratiba ya Mapinduzi Cup tayari?
 
Mpaka mpira upigwe Tunisia. Sasa ni half time tu.
Yanga oyeeee!
Hivi ratiba ya Mapinduzi Cup tayari?
sio mbaya kuishi kwa matumaini, lakini kwenye mashindano hayo yanga ameshaaga michuano hiyo.
 
Anayeshiriki na kuishia njiani na asiye shiriki kwa kukosa sifa yupi bora?
 
kutoka sale yanga na etol de sahel ndio mwisho wa safari
We nawe tangu ujihisi kuwa hautoshuka daraja imekuwa ni shida eti, kiasi cha kutoona 2 - 0 ulizokalia Mbeya (ligi ya ndani) ila umeiona sare ya kimataifa. Ila nakupa hongera Waarabu walewale unaowaitaga majina yote mabaya Al qaida mara wauaji mara chinja chinja na wewe jana ukawa pamoja nao
 
Yanga bwana oh timu ya kimataifa dawa ya etol imepatikana yako. Wapi Mpira Wa kimataifa hauna ubabaishaji kama Wa jerry muro
 
Hufai kuwa daktari wewe...yanga go...go yanga...

mbona madaktari wa siku hizi wako open tu mkuu! zamani ukipimwa ngoma kama tayari atazunguka zunguka huku na huko, ila siku hizi wanakwambia tu kijana habari ndio hiyo umeshaukwaa, kuwa mpole tu kwani tukiwaambia japo mtumie kinga mnasema mzee akivishwa helmet anagoma kutoa kichwa!! pole hata kwa yanga tuwe wakweli tu hana ubavu wa japo kutoa hata draw ya 2-2, huko ugenini. na kutokuwa wakweli ndio kumedhehesha taifa hili, mala katiba pendekezwa tarehe 30,mala vitambulisho vya uraia kufikia 2015,kila mwananchi atakuwa nacho!! mala bvr, Hili ni TAIFA LA WAKULUPUKAJI
 
niliangalia marudia azam tv, wale waarabu hawana mpira wa kutisha kivile, sema yanga wanaogopa jina tu na historia ya timu za waarabu, hata lile goli la kusawazisha ni uzembe tu wa golikipa kufungwa goli kama hilo

Yanga hawakuzidiwa kimchezo, walicreate nafasi nzuri tu sema walishindwa kuzitumia kufunga magoli, ingawa waarabu wana kipa mzuri balaa.

Kama yanga watajiamini kisaikologia halafu na refa awe feya mchezo wa marudiano (manake waaarabu kwa kucheza na refa hawajambo) bado mchuano utakuwa mkali, siyo wa kutabirika kirahisi rahisi
 
Anayeshiriki na kuishia njiani na asiye shiriki kwa kukosa sifa yupi bora?
Ni hasara kuishia njiani, heri usishiriki. Hii michuanao si ya kushiriki kwa sifa, bali ni biashara
 
Ni hasara kuishia njiani, heri usishiriki. Hii michuanao si ya kushiriki kwa sifa, bali ni biashara

Lakini Tanzania hakuna aliyewahi kufika mwisho wa safari. Haijalishi unarudia wapi kama kukufika. Lakini ili upate nafasi ya safari yenyewe lazima uwe vizuri kwako.
 
Etoile ni timu ya kawaida tu.
Yanga wajiamini tu kule wapige bao nne kuendelea. Inawezekana.
 
Kwa hiyo mnyama kachukua kombe gn?

Mnyama hana Kombe lolote la CAF lakini kelele nyingi sana eti walifika mbali. Ndio maana nasema mbali maana yake nini? Kombe walichukua? Hakuna. Sasa hivi kushiriki CAF hadi Yesu arudi!
 
Lakini Tanzania hakuna aliyewahi kufika mwisho wa safari. Haijalishi unarudia wapi kama kukufika. Lakini ili upate nafasi ya safari yenyewe lazima uwe vizuri kwako.
Kama unafuatilia seriously maslahi ya kushiriki michuano ya vilabu vya Afrika, utakubaliana nami kwamba vilabu vinaanza kupata mamilioni ya ruzuku kutoka CAF iwapo vitafikia walau ngazi ya robo fainali, na fedha zinaongezeka kadiri unavyokuwa juu. Kuna fungu la timu iliyofika robo fainali, kuna fungu la timu za nusu fainali, mshindi wa tatu, wa pili na bingwa. Lakini watu kwa kuwa hawaijui biashara hii wanadhani aliyeshiriki akaishia 16 bora anaweza kumtambia asiyeshiriki! Kama unashiriki kwa sifa it's okay, lakini kama unashiriki kwa ajili ya biashara, ni heri usishiriki kuliko kupata hasara kwa kushiriki ukatolewa 16 bora

Kwa hiyo Simba licha ya kushiriki mara chache kuliko Yanga, imefaidi hela za CAF zaidi. Ilishafika hatua zote za juu, yaani robo fainali, nusu fainali na fainali, na pia kushika nafasi ya tatu katika makundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…