Mkuu,
Pia ni vizuri uujulishe ukumbi kuwa sisi wadanganyika tuko huko kwa wingi. Si umeona wamasai ,wachaga ,wanyamwezi na wauza vinyago, walinzi na maduka mengi tu na bar zinamilikiwa na kuendeshwa na na watu kutoka Tanganyika. Ni vyema kwa vile umefika Zenj kuwaondoa watu ambao bado hawajafika huko kasumba waliyonayo kwa Zanzibar kuwa wanajifanya waarabu na hawataki wabongo wawepo.
Tufungue macho kidogo mkuu... Ulitembelea Stone town tu au na mashamba pia?
Umenifanya nitamani kurudi kutembelea tena Zenj