Safari yangu 2

Safari yangu 2

Joined
Jan 10, 2015
Posts
78
Reaction score
27
[13:31, 1/15/2015] AKILIMALI: 2. Tumia muda wako kuongeza kipato chako.

Ndg yangu imekuwa ni changamoto watu hatujui kuutumia muda vizuri. Nimekuwa nikiongea na wafanyakazi visingizio vyao vikubwa ni kuwa muda wao ni mfinyu hivyo biashara huwa wanashindwa kuziendesha! Hii sio kweli muda unakuishia kwa sababu huna NOTEBOOK inayochanganua muda wako vizuri na kujua katika kila saa unatakiwa uwe unafanya nini.

Leo hii unakuta mtu umepanga kwenda presentation rafiki yako anakupitia unajihisi vibaya kumwacha rafiki yako aende peke yake unagairi kwenda presentation.

Sijawahi kumsikia mtu mwenye umri mkubwa anajuta kuwa hakufanya mambo makubwa kisa hana pesa. Bali wengi husema NAJUTA KWA NINI MUDA WANGU NILIPOKUWA NA NGUVU NILIUPOTEZA KIASI HIKI.

Hakikisha mtu ambaye hakujengi kifikra,kimtazamo kuhusu maisha yako huyo sio mzuri,kuna watu wao ni wakuvunja moyo tu kila siku hawajengi. Watu hawa huwa sitaki kabisa kunisogelea.

UTAWATAMBUA WATU WANAOKUPOTEZEA MUDA WAKIWA NA KAULI HIZI.

1. Wanapenda kujua sana ukweli wa mambo kuhusu kitu. Mimi nilipotaka kufanya biashara hii hata siku moja sikuanza kuuliza hizo bidhaa zina nyaraka za TFDA? Nili ashume kuwa km kampuni ina operate wthn the country lazima sheria imefuatwa. Hivyo epuka watu wajuaji na wenye kutaka kujua mambo na kukuona wewe hujasoma.

Mtu mwenye ndoto na fikra za mafanikio habishani kielimu bali hutoa fact asipo kuelewa basi mkalie kimya. Usipendi kutoa maneno makali kuonesha pia una elimu zaidi yake siku akigundua ataona aibu.

2. Mtu anayeanzisha biashara za kusukuma maisha. Kuna watu hawapo serious kabisa unakuta anaanzisha kibiashara kinapoteza muda wake bila yeye kujijua na yeye pia anakushauri ufanye hivyo hivyo. Ndg yangu unaweza kuongeza utaalamu wa kibiashara kutoka kwa mtu anayefanya biashara kama yako na sio vinginevyo.

Naomba una anza biashara WEKEZA KATIKA MUDA RAFIKI HAKIKISHA UNAONGEZA MASAA YA KUITAFUTA PESA KUTOKA BASELINE TIME
[13:31, 1/15/2015] AKILIMALI: LIFE BEGINS AT 40! So how old are you?

Huo ni msemo wanao waingereza.

Today is your future kwa taarifa yako.. Ulipokuwa mdogo ulisema nikiwa mkubwa nitakuwa na gari na nyumba nzuri wazazi wangu wataishi hivi na vile. Je unayo? Je imetokea? Maybe yes. But maybe no.

Kama haijatokea je bado hujawa mkubwa? Basi kama ni mkubwa ujue kuna kitu hujafanya.

Utasema tena nikifika miaka 40 nataka niwe na hiki na kile watoto wangu wasome international skul nk. Subiri uone miaka inavyoenda. Usishangae kufika 40 bado umeajiriwa kwa mtu na anakugombeza kwa nini mwanao anaumwa kila siku unachelewa kazini. Kazi nyingi. No bright future. No enjoyable present. Just existing and not living!
Hapo ndo unawaza kufuga ng'ombe wa maziwa kibamba kwenye kiwanja chako cha miguu 12 kwa 15! Wenzako wa umri wako hapo unasikia wameanzisha bness in Australia. Wamenunua kiwanja Mbezi Beach kwa 300M! Wanamiliki Apartment Johannesburg. Wakienda UK wanaenda kula The Ritz (Google that). Wanasomesha watoto zao the finest schools available wewe wa kwako wakati huo wamekosa nafasi Makongo wameenda Kibamba Secondary School wanapanda daladala sita kwenda na kurudi full kutukanwa na makonda.

Wenzako in their 40s wanasaidia wasio na uwezo katika jamii wewe ndo kwanza ukipokea simu kutoka kijijini una-mute! Wenzako in their 40s wakisikia kuna ujenzi wa nyumba ya ibada wanachangia 5M kimyakimya..

Wewe ukitoa laki moja basi mpaka mtaa wa saba watakujua! Halafu unashangaa wanazidi kuinuliwa. Mwenye nacho ataongezewa au hujui? Na asiye nacho..... (Malizia) Wenzako in their 40s wana exposure ya uhakika. Walishafika kuanzia Sauzi, Botswana, Mozambique, Kenya, Ethiopia, Ghana, Naija, mpaka Egypt, The UK, Australia, Hawaii, Mexico, Croatia, The Netherlands, Switzerland, US, Panama mpaka Puerto Rico, Brazil na jirani zake, Hong Kong, Australia, Japan, China, (Incredible) India, Thailand, Singapore, New Zealand, Comorros, you name it..!! Wewe hata Kampala hujawahi fika. Kila siku Tegeta Posta ndo ruti yako miaka 15 mfululizo eti unatafutia watoto maisha! Unaishi au unaisha?

Acha mawazo mgando. Hiyo ajira ifanye serious sana tu lakini kwa muda tu. Jiandae kusimama mwenyewe. Kwani hujiamini? Na Mungu naye humwamini? Changamoto ni sehemu tu ya kufika kileleni. Don't be afraid.

Don't dwell in that comfort zone!! Unasubiri kiinua mgongo? Utaenda kukiinvest wapi na kwa nguvu ipi. Na utaenjoy retirement kweli kama at 60 yrs ndo unafungua duka la vifaa vya ujenzi eti vinalipa. Kwa nini hukufungua ukiwa 30 ili uone vinalipa au la. At 60? With due respect.

Suffer the pain of discipline now. Or else you will suffer the pain of REGRET. Halafu ukianza kuregret ndo pressure zinakuja, stress, nk mwisho unawacha hata hao watoto in a far worse situation than your own lifetime.

You can still make it your family needs u, its not that you can deal with a single thing you have ability to do multiple things and get income on both if you don't believe go to.
 
AJIRA NI SAFARI ISIYO NA MATUMAINI MAISHANI MWAKO.
Nilikuwa napenda sana kuajiliwa lakini nimekuja kujua sifa hizi kuu zimenifanya nijue kujiajili na kuajili watu.
Unapokuwa umejiliwa una kuwa katika mateso haya:
1. Utafunga mkataba na mwajili wako ATUMIE MUDA kadri anavyojua MAANA wewe hujui thamani yake!
2. Unamuuzia muda wewe unapewa pesa ambayo haina thamani ya huo muda ulio toa hivyo wewe ulivyo wa AJABU unathaminisha PESA KULIKO MUDA.
3.,Anatumia TAALUMA yako na UZOEFU wako kujinufaisha yeye wakati wewe ukizidi kuwa MASIKINI.
Baada ya KUYAFIKILIA HAYA NIKAWAZA NA KUFANYA UCHUNGUZI NIKAILBAINI HAYA
1. Waajiliwa wengi wana visingizio kuwa muda wa kujiajili hawana BILA KUJUA IPO SIKU ATAZEEKA WATOTO WATAKULA NINI! Na wengi wao hulalamika muda hawana wakati muda wote wanamuuzia tajiri na kupewa pesa isiyokata kiu kila siku.

2. Hulalamika KUWA hawana pesa. Na ndio pekee wanao ongoza kwa MIKOPO FINCA NA MABENKI MENGINE! Ndg yangu WASOMI MISHAHARA YETU NI YA KULIPA KODI NA MADENI FUTURE YETU IPO WAPI?

JE MATUMAINI YETU WAFANYA KAZI NI YAPI?
1. Pesa ya Kiinua mgongo ndg hata kama utalipwa mil 50. jiulize utajenga,utafanya biashara gani umezeeka? Huna nguvu, huwezi kukabiliana na changamoto.
2. Biashara nyingi za wastafu hazidumu kwa sababu walikuwa sio wazoefu ktk biashara.
3. Wasomi wanaishia kupewa pension ya 50,000/- kila mwezi ambayo haina msaada wowote.
4. Wazee wanapata tiba maalumu ya kupewa PANADOL NA DICLOFENAC. Hii ni ishara tiba maalumu ni tiba isiyo na kiwango kwa sababu wewe dasa hivi ni maskini.

NINI UFANYA UWE NA MATUMAINI.
Huna haja ya kulalamika kila siku na kuzarau mali uliyo nayo. Pesa ndongo ndiyo imetajirisha watu wengi duniani hapa. Mtaji mkubwa ni juhudi, nia na ndoto kubwa zenye nia kuwa ya KUTUMIZWA.
Hujachelewa kama unasumbuka na uebdeshaji wa BIASHARA ZAKO angali una nia ya KIPATO CHA ZIADA. KARIBU KATIKA BIASHARA HII YA KIPEKEE TUNAITA BIASHARA YA KARNE YA 21.
 
Good presentaion. i hope sio FLP, mana na hiyo si ubunifu na sio biashara. ila ni modernized ajira. kampuni ikafilisika yu are down too.
 
Ni kweli tujifunze kwa watu waliofanikiwa kama rais watarajiwa akina Mhe. dk. R.Mengi na wengine walioushinda umaskini!
 
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Ni kweli tujifunze kwa watu waliofanikiwa kama rais watarajiwa akina Mhe. dk. R.Mengi na wengine walioushinda umaskini!

Vita ya umasikini ni endelevu, haiishi kwa kupata trillioni moja, ukiacha kupigana utajikuta una coins mfukoni.

Umasikini ni force mfano wa gravity mara zote unakuvuta kwenye ufukara.
 
Back
Top Bottom