Hassan J. Mosoka
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 682
- 323
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huyo ni mimi kabisaaaa na ahsanteni sana ndugu zangu, "Apataye mke apata kitu chema kutoka kwa Mungu"Huyo ni wewe kweli au umenyakua tu picha ya wengine na kuitundika hapa? Na kama kweli ni wewe, je, umejiridhisha kabisa kuwa huyo ni "mke mwema"? Kama ndiyo basi hongera.
Mkuu hivi kwanini hukuchukua huko huko ulikototoka? Huyu ulitafutiwa na wazazi au ulimwacha kabla hujaondoka kwenda kokote ulikokuwa?View attachment 35729h
Ndugu zangu mwezi uliopita nilifika Nyumbani Tanzania na kwa Neema ya Mungu nikajipatia Mke mwema
<br />hongera...she looks so beautifull.....
<br /><font size="3"><font color="#ff0000">Mkuu huyo ni mimi kabisaaaa na ahsanteni sana ndugu zangu, "Apataye mke apata kitu chema kutoka kwa Mungu"</font></font>