Mathayo Fungo
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 319
- 511
Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Air Tanzania ndugu Nkwabi ameelezea kwamba ATCL itaanza safari za kwenda Guangzhou kupitia Bankok mwezi Februari 2019.
Ndege itakuwa ni Boeing 787-Dreamliner C22/Y240.
Siku tatu kwa wiki (Jumanne, Alhamis na Jumamosi).
Neema kwa wafanyabiadhara
Ndege itakuwa ni Boeing 787-Dreamliner C22/Y240.
Siku tatu kwa wiki (Jumanne, Alhamis na Jumamosi).
Neema kwa wafanyabiadhara