Safari za air tanzania zipo?

JATELO1

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
1,230
Reaction score
301
WANA-JF;
Napenda kuuliza kama upo usafiri wa ndege wa Air Tanzania kati ya Mwanza na Dar es Salaam. Naomba kufahamishwa kwa yeyote mwenye taarifa za sasa kama usafiri huo unapatikana. Nimeangalia kwenye homepage yao na inaonyesha kwamba wana safari, lkn ningependa kufahamu kwa uhalisia kama huo usafiri upo kwasasa. Kwa wale watakaokwazika kwa swali langu naomba mnisamehe, kwani kuna jamaa zangu wanahitaji kusafiri next week kati ya Mwanza na Dar.
 
Aiseee baba yangu air tanzania haziaminiki hata kidogo mara utasikia kio kimepasuka mara rubani hajafika airport si ajabu ikaisha mafuta ikiwa angani nakushauri bora upande basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…