Safari za anga

Safari za anga

sajumo

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
1,834
Reaction score
1,055
Wakuu ndani ya jamii intelligence nina swali juu ya safari za anga.

Mimi nimejaribu kuangalia Mara nyngi documentaries mbalimbali zikionesha wanasayansi wakiwa katika sehemu mbali nje ya dunia ila kupitia jf nikapata elimu kuwa safari ya kwenda mwenzini ya Marekani ilikua ni uongo.

Nahitaji kujua ni maeneo gani ambayo wanasayansi wamewahi fika na sayari ngapi mpaka sasa wanasayansi wameweza kufika au kufikisha hata robots.

Nawasilisha.
 
Kwahiyo JF ndiyo imekufanya uamini lunar landing ulikuwa uongo? Ebu kuwa serious!
 
Sure niliamini hilo maana liner landing haikufanywa na marekani pekee maana niliona clip moja ikionesha wachina walifanya the same lakini wasomi waliikataa pia mm nipo fifty fifty koz kila MTU anayezungumziz haya mambo anazumgumza akiwa critical reasons
 
Wakuu nahitaji kujua hakika no sehem gani hawa wanaaanga wameweza fika na ni umbali gani waliweza kurusha vyombo vya
 
Sure niliamini hilo maana liner landing haikufanywa na marekani pekee maana niliona clip moja ikionesha wachina walifanya the same lakini wasomi waliikataa pia mm nipo fifty fifty koz kila MTU anayezungumziz haya mambo anazumgumza akiwa critical reasons
Liner landing ndio nini, au unamaanisha lunar landing? Ambacho unauliza wewe ni watu kufika mwezini au robots ambazo zimetua mwezini? China haikuwahi kupeleka mtu mwezini sijui we ulitoa wapi ila 2008 walipeleka wanaanga kwenye space kwa sababu na wenyewe wana mpako wa kutengeneza space station. Kuhusu manned mission mpaka kwa mujibu wa vyanzo vilivyopo ni ile ya Apollo mission kwa mujibu wa NASA. Ila spacecraft zilishapelekwa nyingi tu na wakwanza kupeleka spacecraft kwenye ardhi ya mwezi walikuwa ni USSR. Je unafahamu malengo ya uwepo wa ISS(International space station).?
 
Lunar landing mkuu jaribu kuelewa
 
utata wangu ni pale chombo kinachotumwa labda tuseme jupiter eti nacho kinapigwa picha tena kwa ukaribu na picha inakua clear kumbuka kimesafiri miaka kadhaa

wapgaji wanakuwa wapi(ISS?) AU NI PICHA ZA KUTENGENEZA KUPITI teknolojia iitwayo sijui blue nini nini huko?
 
Mkuu tuambie malengo ya uwepo wa ISIS
 
Hapa sijakuelewa unamaanisha kile chombo ambacho kimetua kwenye hiyo sayari au kile chombo ambacho kinasafiri ambacho kinaorbit sayari kama JUNO?

Mkuu kama ni case ya kile chombo kama juno kupata picha basi hilo ljnawezekana hats hapa ukiwa ardhini kwa kutumia telescope za kwenye vile vituo vinavyocontrol na wanaattach camera, ishu hapa ni mahesabu kuweza kudetermine position na kufocus kwenye hiyo object. Mfano mars rover ina camera yenye pixel 1280×720 kwa hiyo kupata picha yenye quality nzuri hiyo ni kawaida kwa tech ya sasa.
 
Mkuu tuambie malengo ya uwepo wa ISIS
Baada ya USA kudai kuwa imepeleka watu mwezini kwenye ile Apollo project USSR wakahisi kuwa kama kile ni defeat kumbuka kipindi hiko kulikuwa na ushindani Sana kwenye maswala ya anga basi USSR Ikawa Ina mpango wa kumpeleka watu angani kwenye sayari na mwezini na kukaa huko mda mrefu lakini kabla ya kufanya hivyo walitaka kwanza kufanya tafiti I'll kutimiza hayo malengo yao ndo hapo wakatengeneza sky lab ya kwanza, kabla USA kujenga yao lakini ilivyoenda nadhani ni raisi Regan wa USA alizungumza na wa Russia kuomba kushirikiana katika maswala ya space explorations na hapo ndo ikaja zaliwa ISS. Lengo kubwa ni kupeleka watu mwezini na mars ndo maana humo wanafanya matafiti kuanzia medicine, physiology, radiation, magnetic na nyinginezo, kwa hiyo mpaka sasa kuna matarajio kufikia 2030 safari ya kwenda kwenye sayari ya mars itakayohusisha na watu kwenda huko inaweza kukamilika. Sasa mi hii ishu ndio huwa najiuliza hivi ni kweli US walifika mwezini? Yaani imekuwaje wawe tayari kushirikiana na nchi hasimu kufanya tafiti kwenye moja ya sehemu ambayo mmeshawahi kufika tena tafiti inayochukua muda mrefu?
 
thesym
wamarekani wajanja sana usikute yameweka ukaribu nao ili wawasome au kwa kuhofia gharama itakuwa kubwa mno hivyo wakaona wajumuike kuleta wepesi.
kuhusu kwenda mwezini hata mimi namashaka nao hawa jamaa!
 
Hapa sijakuelewa unamaanisha kile chombo ambacho kimetua kwenye hiyo sayari au kile chombo ambacho kinasafiri ambacho kinaorbit sayari kama JUNO?

Mkuu kama ni case ya kile chombo kama juno kupata picha basi hilo ljnawezekana hats hapa ukiwa ardhini kwa kutumia telescope za kwenye vile vituo vinavyocontrol na wanaattach camera, ishu hapa ni mahesabu kuweza kudetermine position na kufocus kwenye hiyo object. Mfano mars rover ina camera yenye pixel 1280×720 kwa hiyo kupata picha yenye quality nzuri hiyo ni kawaida kwa tech ya sasa.
nilimaanisha ukiangalia demonstration za NASA utakudua mfano hicho chombo cha Juno kimepigwa picha kwa ukaribu ni chombo gani kilifanya hiyo kazi huko juu? au tuzungumzie kile kinacho fanya utafiti huko mars nacho kinaonekana kupigwa picha clear nikiwa kwenye majukumu yake ya kawida . SSA hizo picha hupigwa kutoka huku au ni from the space?
 
Kuhusu mfano wa Juno nadhani nimeshajibu hapo juu, mfano wa chombo ambacho kipo kwenye ardhi ya sayari yenyewe mfano Mars rover huwa Ina "self pottait" kwenye front camera yaani inajipiga picha yenyewe na camera ambayo ipo hapo ni Ina pixels kubwa ndio maana unaweza kuona picha ikiwa na quality. Unaweza kujiuliza kwa nini huo mkono(front arm) kwa ajili ya self portrait hauonekani? Unaweza pitia hapa ili uwelewe zaidi structure jinsi ilivyo
How Curiosity Took a Self-Portrait
 
Mkuu kama ni case ya kile chombo kama juno kupata picha basi hilo ljnawezekana hats hapa ukiwa ardhini kwa kutumia telescope za kwenye vile vituo vinavyocontrol na wanaattach camera, ishu hapa ni mahesabu kuweza kudetermine position na kufocus kwenye hiyo object. Mfano mars rover ina camera yenye pixel 1280×720 kwa hiyo kupata picha yenye quality nzuri hiyo ni kawaida kwa tech ya sasa.

Sasa ndugu unaposema pixel ya 1280 x 720 mbona ni ndogo sana hyo sio full HD .maana kama kamera yangu hapa ina 1920 x 1080 mbona imeizidi iyo ya mars rovers, so walishindwa tengeneza HD au UHD kamera zipige mpka 4k 6k au hata 8k?????
 
ni kweli kabisa sio full hd ulichokiandika ni sahihi, kuna sababu nyingi ambazo project manager alifafanua, moja ya sababu ya kutengeneza camera ya kiwango hicho ni kutokana na spidi ndogo ya kubroadcast hizo picha zilizopigwa huko mars kuja duniani, maana hata ile computer ya device ambayo ndio inaprocess command zinazotumwa haina memory kubwa yenye uwezo kuprocess data zenye mem kubwa kwa hiyo kama wangetengeneza camera kama hizo ambazo umetaja wewe zingekuwa ni slow sana kuzituma sana huku duniani(slow broadcasting rate) hivvyo kuchukua mda.
Mars rover camera project manager explains 2MP camera choice
 
Back
Top Bottom