Safari za Kikwete nje zimegharimu kiasi gani?

Safari za Kikwete nje zimegharimu kiasi gani?

Solomon David

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2009
Posts
1,148
Reaction score
17
Je, ni kiasi gani zimetumika so far kuanzia 2006 hadi leo?

Wanachama wenye data wa JF - Invisible, Halisi, Enigma, na wengineo, je mnaweza kutuambia?
 
Je, ni kiasi gani zimetumika so far kuanzia 2006 hadi leo?

Wanachama wenye data wa JF - Invisible, Halisi, Enigma, na wengineo, je mnaweza kutuambia?

ukishaambiwa ni kiasi gani ametumia utamfanya nini?...utamfire au?
 
ukishaambiwa ni kiasi gani ametumia utamfanya nini?...utamfire au?

Kikwete ameajiriwa na watanzania wote. Pesa zinazotumika ni za watanzania. Mimi ni mtanzania ambaye nina kila sababu ya kujua kiwango cha pesa ambazo zimetumika kwenye safari hizi.

Kuna kosa katika hili?
 
I Love This!

Ila,you never know,labda anafanya kazi kwenye tabloid papers!

Mkuu Kevo.

Kwa maoni yako, only tabloid ndizo zinahitajika kujua na au kuandika kuhusu matumizi ya ofisi ya raisi wa Tanzania?
 
..hata mimi napenda kujua ametumia kiasi gani kwa safari hizi.

..nina mashaka sana kama zina tija yoyote kwa taifa hili.

..Raisi anakwenda nje kuleta wawekezaji nchi, halafu wakifika hapa anawakatisha tamaa kwa matatizo ya umeme na maji.

..bora hizo pesa anazotumia kusafiri nje zingetumika kutatua matatizo kama ya umeme.

NB:

..matumizi ya Ofisi ya Raisi na serikali nzima yanapaswa kuwa wazi kwa wananchi wote.
 
Asante sana Jokakuu,

Hili la kutumia mabilioni kusafiri nje ya nchi "ili kuleta wawekezaji" wakati nchi nzima haina umeme lingeongoza mjadala bungeni kama kweli vyombo vya habari, wabunge, wanaharakati (wakiwemo wana JF), nk wangetaka kuweka ili jambo kwenye spotlight.

So far mimi niko concerned na costs (kwa kuanzia).
 
Mkuu Kevo.

Kwa maoni yako, only tabloid ndizo zinahitajika kujua na au kuandika kuhusu matumizi ya ofisi ya raisi wa Tanzania?

Mkuu,

Tupo pamoja ila hata ukijua hicho kiasi either kitakuwa altered or the truth is out and nothing to be done.

Tulijua ya BOT na EPA ni nini hasa kinachoendelea sasa??

Rafiki yangu mmoja anapenda sana kuniambia "IGNORANCE IS BLISS ITS FOUL TO BE WISE"
 
Sidhani kama hakuna kabisa kilichotokea kwenye EPA na BOT - kina mramba na wenzake walifikishwa mahakamani. Kina Liyumba na Kweka wanahaha nje ya BOT sasa hivi. Haijafika mbali ila at least kuna kitu kilifanyika.

Hii safari za Kikwete itakuwa matter of record iwapo itawekwa wazi (kwa kuanzia tu).
 
Je, ni kiasi gani zimetumika so far kuanzia 2006 hadi leo?

Wanachama wenye data wa JF - Invisible, Halisi, Enigma, na wengineo, je mnaweza kutuambia?
Usiangalie tu kuwa katumia kiasi gani, vile vile angalia kuwa zimeingiza kiasi gani. Nafikiri hicho ndicho cha muhimu sana.

Kwasababu mfanya biashara siku yake huwa si asubuhi, bali jioni wakati anapohesabu faida. Tuishi kiuchumi!
 
Zimegharimu mabilioni ya shilingi

Thanks Mwafrika;

Kwa serikali na uongozi tulivyonavyo, this is a close as possible to the actual spending by Mh. Kikwete kwenye safari za nje!!!😡
 
Usiangalie tu kuwa katumia kiasi gani, vile vile angalia kuwa zimeingiza kiasi gani. Nafikiri hicho ndicho cha muhimu sana.

Kwasababu mfanya biashara siku yake huwa si asubuhi, bali jioni wakati anapohesabu faida. Tuishi kiuchumi!

tangu lini kuendesha serikali kukawa sawa na kuendesha biashara. Inayoingia itajulikana. hatutaki jumla ya matumizi. Tunataka specific...ya safari za rais nje. Na pili, tupate za safari za Waziri wa Mambo ya Nje pia. Watupe za wote wawili kutoka awamu zilizopita. Tukae na kupima, tulie au tucheke.
 
Zawadi, asante kwa ktushauri tuishi kibiashara... labda nikuulize; misaada tunayopata inatokana na mipango ya Tz [na begging anayofanya JK, au ni mipango ya donor countries base on their own criteria and plans?
 
tangu lini kuendesha serikali kukawa sawa na kuendesha biashara. Inayoingia itajulikana. hatutaki jumla ya matumizi. Tunataka specific...ya safari za rais nje. Na pili, tupate za safari za Waziri wa Mambo ya Nje pia. Watupe za wote wawili kutoka awamu zilizopita. Tukae na kupima, tulie au tucheke.

JK alikuwa mambo ya nje awamu iliyopita kwahiyo matumizi ya safari kwa wizara hiyo bado yatakuwa juu
 
JK alikuwa mambo ya nje awamu iliyopita kwahiyo matumizi ya safari kwa wizara hiyo bado yatakuwa juu

Ndo hapo tunataka kuangalia. Katika majibu yake si alisema kuwa kuna watu ambao anaweza kuwafikia kutokana na cheo chake cha urais ambao watu wengine hawawezi kuwaona. Mfano, rais wa marekani, nk. Sasa tunataka tucheki kama yeye kachukua kazi ya Waziri wa mambo ye nje au na waziri naye bado safari ni zile zile.
 
Haya tusubiri... siajabu hata hizo financial details za safari hakuna tena, si umesikia zile bilioni 60 za EPA zishaisha??

kalaga baho!!
 
Haya tusubiri... siajabu hata hizo financial details za safari hakuna tena, si umesikia zile bilioni 60 za EPA zishaisha??

kalaga baho!!

hahahha
Ndo hapo. Nchi inaendeshwa kama si yetu. Tunapelekwa kama makondoo. Wabunge wetu wamelala, hawawezi hata kuuliza maswali juu ya hizi fedha maana wanajua matumizi yao wenyewe yalivyopinda. Ni sawa na mwizi amwambie mwizi mwenzake aache kuiba...hahaha
 
Adam wa Lusekelo anasema hivi...

Does Prez Kikwete like hamburgers?

The internet has been white hot with howls of revulsion, from Tanzanians protesting on Prez, Jack Mrisho's latest trip to the USof A. Of course he was accompanied by a posse of 40 guys, who ate, drank and made merry on his name. Kiliofu!
The job of accompanying the prez, is becoming a very lucrative one, if you ask me. Some $300 dollars a day for each of the hangers-on and other assorted officials come to $12,000 a day. Multiply that with 8 days, then you get a hefty $94,000 splashed on this trip. Knowing how these trips work, I would easily write off $500,000 on this latest shopping trip.
The prez also met the world's most powerful man, Barack O, got some award on health, shook Secretary of State, Hillary Clinton's hand and spoke to Tanzanians in LA. Lucky geezers, those Tanzanians in the US of A. they have been the president's audience every time (and not once or twice) the president visited the States. To the chagrin of Tanzanians in Tanzania.
Tanzanians at home are said to be green with envy. They can't see him at home because the president is busy traveling. But now it's getting increasingly clear that if the wananchi want to see their president they will have to travel to the US of A. This will be at their own expense and no $300 dollars a day will be given to them.
Those grumbling against our benevolent president say the medical award could easily and much less expensively have been picked up by the minister of health.
But, that idea is quickly shot down by the battalion sized delegation which accompanied him. Tanzania has benefited tremendouslyfrom the visit. The Prez was the first African ruler to have a sniff at Barack O's after-shave. They also looked good in pictures. Our sources did not say whether they discussed hamburgers or Kentuky chicken.
It is said that the battalion sized entourage have just benefited handsomely when the prez went for a tour in Araby only a monthago. The grapevine in Dar says nearly all of them bought brand new cars and mountains of goods which were imported gratis. Kiliofu!
It's a great job being part of the posse. If a guy is going to travel around for 20 days of every month, then that is great money. If you can import and flog off anything you want after buying it abroad, then long live the president!
Tanzanians in the net have been asking just where does the money for the jet-setting life comes from? For the travels are getting to be an intolerable and expensive joke.
Or, maybe critics are getting it all wrong. Maybe it is okay for primary schools to go without toilets and books as long as there is money to finance the travels of the mkuu and his gravy train. Who knows?
Some critics have been cheeky. They say it's about time to change and honour the president's penchant for the US of A. Some havesuggested that he be called Amerigo in honour of the man who discovered and charted the mapping of the USA Amerigo Vespucci.
But the name President Amerigo Mrisho Kikwete, just doesn't sound right! Some have called him Vasco Da Gama. Which again doesn't sound right? Vasco Da Gama sailed from Portugal to India to look for spices. What is the Tanzanian president constantly lookingfor, in the USA? Maybe he likes hamburgers.
If that's the case then Bongo ought to talk to McDonalds to produce Big-Macs in Tanzania. One kiosk will be stationed at Ikulu in Dar, another one in Dodoma, one in Msata where the prez is expected to retire, when he retires. Big Macs should also be freelyavailable in the presidential jet. The prez, should also be asked if he likes Kentuky chicken.
Some observers have said that maybe the mkuu simply likes to fly. They have called him the 'Aviator'. Which is also alright. We could ask Americans to build the Tanzanian equivalent of Air Force One.
A flying Ikulu which will be constantly flying the skies of Tanzania and maybe he could also institute a minor cabinet re-shuffle in which he would appoint himself minister of foreign affairs!
 
Back
Top Bottom