Kidedya
Member
- Feb 24, 2020
- 56
- 37
Tupo kwenye basi na jamaa angu tumetulia tunatoka shule jirana kupiga michezo, makelele kama yote ya wanafunzi maana tulishinda.
Anakuja binti anamwambia mshikaji hakika leo umenfurahisha sana uwanjani, goli lako limetupa ushindi na hasa mimi naona nikama ushindi wangu. Pole kwa shughuli uliyofanya huku kinamfuta futa mdau hapa na pale.
Jamaa kwanini asikivutie kwenye mapaja yake na kukapakata huku kanamwangalia kasielewe nini jamaa amefanya, lakatoa asante kwa kunijali. Basi ikaendlea kwenda huku kurushwa hapa na pale.
Ujinga unaanza pale wakusoma walipoomba taa za ndani zizimwe, dereva akatekeleza agizo, mwana akaanza kumpapasa kigoli macho kikaonesha hicho hasa ndio zawadi yake mshikaji kwa kufunga goli.
Basi kalinyanduliwa vizuri tu.
The end.
Mimi nilikuwa domo zege, niliishia kuwa mtazamaji safari zote.
Wewe ilikutokea hiyo?
Note.
WALIMU NA WASIMAMIZI WA HIZI SAFARI WAWE WAANGALIFU SANA KUNUSURU HIZO MAMBO.