pakaywatek JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 4,660 Reaction score 6,282 Jul 31, 2021 #1 Mwanzo nilipinga kuchanjwa kumbe usilolijua ni usiku wa giza, itabidi tu nikapate chanjo ili nipate kadi ya kusafiri nayo imeniuma sana huku ndio kufa kufaana.
Mwanzo nilipinga kuchanjwa kumbe usilolijua ni usiku wa giza, itabidi tu nikapate chanjo ili nipate kadi ya kusafiri nayo imeniuma sana huku ndio kufa kufaana.