Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Kampuni ya mawasiliano Safaricom imefungua milango ya ushirikiano na kampuni ya mtandao wa satelaitii ya Starlink, ikiwa ni hatua ya kuimarisha teknolojia ya intaneti nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Safaricom, Peter Ndegwa, amesema kuwa teknolojia ya Starlink, ambayo imeleta mapinduzi kwenye soko la intaneti, itasaidia kuboresha huduma, hasa katika maeneo ya vijijini ambako mtndao wa Safaricom bado haujafika.
Soma pia: Safaricom Kenya yaomba ulinzi kwa Serikali. Ni baada ya Starlink kushusha bei hadi Tsh. 26,000/= kwa GB 50
“Mtandao wa Starlink unatoa suluhisho kwa changamoto za upatikanaji wa intaneti maeneo ambayo teknolojia ya fiber haiwezi kufikia,” alisema Ndegwa.
Licha ya hayo, Ndegwa alisisitiza kuwa Safaricom inaendelea kuwa na ushawishi mkubwa, huku akibainisha kuwa kwa sasa mtandao wa 4G wa Safaricom unawafikia asilimia 95 ya wananchi kwa matumizi ya majumbani na makampuni makubwa.
Hatua hii ya Safaricom inakuja baada ya jaribio la awali la kuzuia Starlink kuingia kwenye soko kupitia Mamlaka ya Mawasiliano (CA) ya Kenya, ambapo Safaricom iliiandikia CA ikiitaka kufikiria upya utoaji wa leseni kwa watoa huduma wa satelaiti.
============================================
Telecommunications giant Safaricom is now open for a partnership with satellite internet company, Starlink.
Acknowledging Starlink's market disruption, competitive packages, and fast internet speeds, Safaricom CEO Peter Ndegwa says the partnership will ensure the satellite-based internet company complements local technology.
"The satellite technology is effective in providing internet to rural areas and other places that fibre-based technology, used by Safaricom and other local providers, cannot access," CEO Ndegwa says.
Nonetheless, CEO Ndegwa has also acknowledged the impact of Safaricom internet, noting that currently, its 4G technology has at least 95% reach across the country while fibre optic cable is becoming a favourite for homes and multinational companies.
This comes amid Safaricom's previous plot to tame Starlink through the Communications Authority (CA) of Kenya. Safaricom, at least a month ago, wrote to CA asking them to reconsider its decision to grant licences to satellite internet providers targeting the Kenyan market.
Source: Buzzroom Kenya