Safaricom yateua Mtendaji Mkuu wa mpito kufuatia kifo cha Bob Collymore

Safaricom yateua Mtendaji Mkuu wa mpito kufuatia kifo cha Bob Collymore

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Michael-Joseph.jpg


Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni hiyo ya mawasiliano nchini Kenya imemteaua aliyewahi kuwa Mtendaji Mkuu, Michael Joseph kushika nafasi hiyo katika kipindi cha mpito
-
Uteuzi huu umechukuliwa kufuatia kifo cha Mtendaji Mkuu wa Safaricom, Bob Collymore kilichotokea alfajiri ya siku ya jana
-
Joseph atashika nafasi hiyo hadi hapo mchakato wa kumpata Mtendaji Mkuu mpya utakapoendeshwa na kukamilika
-
Bwana Michael Joseph aliliongoza shirika hilo tangu mwaka 2000 hadi 2010

======


The board of Safaricom has appointed former CEO Michael Joseph as the interim boss following the death of its CEO Bob Collymore on July 1, 2019.

The appointment comes after a special board meeting that was called on Monday afternoon by Chairman Nicholas Ng’ang’a.

“Mr. Joseph will hold this position until the board communicates in due course, on a permanent appointment,” read the statement in part.

Michael Joseph returns to the hot seat at Safaricom 9 years after his departure in November 2010.

The 67 year old served as Safaricom C.E.O between July 2000 and 2010 when the firm was at the time re-launched as a joint venture between Vodafone UK and Telkom Kenya.

During his tenure, he steered the company from a subscriber base of less than 20,000 to over 16.71 million subscribers.

Michael Joseph will be no new stranger at Safaricom having held a Non-Executive Director role at the telco to this point having been installed to the board in September of 2008.

Joseph brings along an extensive international experience in company start-ups, the implementation and operation of large wireless and wire-line networks having previously worked on large telco undertakings including Hungary, Australia and the USA.

Michael Joseph has served on other boards with his most recent appointment seeing him fill the Chairman seat at Kenya Airways in 2016.
 
Taarifa zilizoripotiwa na Mwananchi zinasema kuwa Safaricom imemteua CEO wa zamani (Michael Joseph) kukaimu nafasi ya u CEO kufuatia kifo cha Bob
Collymore. Hii ni hatua ambayo imemtosa Sylvia Mulinge ambaye aliteuliwa kushika wadhifa kama huo Vodacom Tanzania.
Kikwazo kilichopo sasa ni mvutano uliopo baina ya serikali na Safaricom ambapo serikali ya Kenya inataka shirika hilo liongozwe na mzawa.
 
Back
Top Bottom