Jamani singida noma muhaya kakimbia kule. Muhaya anakupa kwa elfu kumi kitu yake.but mwanamke wa kisimgida anakupa kwa elfu kumi na kuku nusu bure.. U buy nyau 4 ten taoo u get kuku bonus.. Sasa wewe wachagua nini wahaya wamekimbia kule. singidaaa nii nooooomaaaa!!!!!!!!
Hiyo ipo karibu kabisa ya Singida mjini, kuna sehemu inaitwa Puma hilo jiwe haliko mbali na hapo Puma, KM 10 -15 kutoka katikati ya mji wa Singida, barabara kuu ya Dodoma-Singida.
Nakubaliana na wewe 100% ukitembea kuanzia Dodoma mpaka baada ya Singida, ni sehemu ambayo inavutia sana kwa mawe yalivyojipanga yako ya kila aina, kuna ambyo ukiyatazama kwa mbali yanafanana na maumbo tofauti.
Wizara ya utalii isikazanie tu kuwa Wanyama na Kilimanjaro kubaki kuwa vivutio pekee vya utalii, Tanzania kuna vivutio vingi sana vya utalii wa asili.
hayo kwa kinyaturu tunayaita ng'ongo, singida mjini karibu na uwanja wa mpira wa namfua, kuna haya mang'ongo kibao basi kama kuna mechi na iinahitaji viingilio basi juu ya mawe haya watazamaji ni wengi kuliko ndani ya uwanja, teh teh, wakisubiria fungulia mbwa, singida nimepamiss sana wakuu,