INAUZWA Safe Box zinauzwa Mpya kabisa. Bei 750,000/=

INAUZWA Safe Box zinauzwa Mpya kabisa. Bei 750,000/=

konkudeshu

Member
Joined
Oct 16, 2022
Posts
88
Reaction score
73
Safe box zinauzwa mpya kilo 120 kwa matumizi ya ofisi, mawakala, majumbani, n.k
Wasiliana nasi 0712347749
IMG_20240409_152747.jpg

Unaweza kufungulia kwa password za namba utakazo weza kuweka unazo zihitaji.

IMG_20240409_153031.jpg

Key zipo 4
Alarm sound
Brand New
Bei 750,000/=
 
Kweli kabisa.
Sisi wazee hiki ni kitu muhimu sana.
Kutunza fedha na documents muhimu.
Mleta uzi ukiweza weka discount kwa wazee.

Ila kijana kifo hakina umri hata wewe kijana unaweza kufa na kumuacha mkeo watu wakiendelea "kumdinya" haswa.
Ni kweli Mzee, Safe box hizi tulizo leta tayari tusha weka discount Mzee wangu, pia kwa wakazi wa dar es salaam na vitongoji vyake tuna kuletea mpaka nyumbani kwako au ofisini kwako kwa gharama nafuu sana..
 
Safe box zinauzwa mpya kilo 120 kwa matumizi ya ofisi, mawakala, majumbani, n.k
Wasiliana nasi 0712347749
View attachment 2963355
Unaweza kufungulia kwa password za namba utakazo weza kuweka unazo zihitaji.

View attachment 2963356
Key zipo 4
Alarm sound
Brand New
Bei 750,000/=
Ukinunua hichi ukaweka ndani mkeo aka kiona alafu hujamuambia ndani kuna nini, ata anza kukunyima unyumba mpaka siku umfungulie aone ndani kuna nini alafu akae na password.
La sivyo ndoa ita vunjika
 
Jamaa anachukulia kilo 120 kama kiroba cha unga wa mahindi/ngano cha kilo 25! 😁
Tatee unaniangusha, nilitegemea una unaelewa kuhusu safe box, unaweza kuweka safe ya kg 120 kwenye ofisi ya maana, kg 120 si gunia la mchele Hilo watu wanabeba wanaondoka nalo

Safe za maana zinaanzia Tani huko, Ngoma inaletwa na mashine
 
Kweli kabisa.
Sisi wazee hiki ni kitu muhimu sana.
Kutunza fedha na documents muhimu.
Mleta uzi ukiweza weka discount kwa wazee.

Ila kijana kifo hakina umri hata wewe kijana unaweza kufa na kumuacha mkeo watu wakiendelea "kumdinya" haswa.
🤣🤣🤣.. Mzee wa hovyo! Mkewe watamdinya vilivyo sio!!
 
Kweli kabisa.
Sisi wazee hiki ni kitu muhimu sana.
Kutunza fedha na documents muhimu.
Mleta uzi ukiweza weka discount kwa wazee.

Ila kijana kifo hakina umri hata wewe kijana unaweza kufa na kumuacha mkeo watu wakiendelea "kumdinya" haswa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]falaa sana wee mzeee...
 
Back
Top Bottom