konkudeshu
Member
- Oct 16, 2022
- 88
- 73
120kgIko n uzito kiasi Gani?
Kweli kabisa.Linafaa sana kutunzia wasia; wazee changamkieni.
Ni kweli Mzee, Safe box hizi tulizo leta tayari tusha weka discount Mzee wangu, pia kwa wakazi wa dar es salaam na vitongoji vyake tuna kuletea mpaka nyumbani kwako au ofisini kwako kwa gharama nafuu sana..Kweli kabisa.
Sisi wazee hiki ni kitu muhimu sana.
Kutunza fedha na documents muhimu.
Mleta uzi ukiweza weka discount kwa wazee.
Ila kijana kifo hakina umri hata wewe kijana unaweza kufa na kumuacha mkeo watu wakiendelea "kumdinya" haswa.
Ukinunua hichi ukaweka ndani mkeo aka kiona alafu hujamuambia ndani kuna nini, ata anza kukunyima unyumba mpaka siku umfungulie aone ndani kuna nini alafu akae na password.Safe box zinauzwa mpya kilo 120 kwa matumizi ya ofisi, mawakala, majumbani, n.k
Wasiliana nasi 0712347749
View attachment 2963355
Unaweza kufungulia kwa password za namba utakazo weza kuweka unazo zihitaji.
View attachment 2963356
Key zipo 4
Alarm sound
Brand New
Bei 750,000/=
Unajua kilo 120 wewe? [emoji23][emoji23][emoji23]Kilo 120 hizo za nyumbani, ukiweka ofisini wahuni wataibeba begani
Jamaa anachukulia kilo 120 kama kile kiroba cha unga wa mahindi/ngano cha kilo 25! 😁Unajua kilo 120 wewe? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tatee unaniangusha, nilitegemea una unaelewa kuhusu safe box, unaweza kuweka safe ya kg 120 kwenye ofisi ya maana, kg 120 si gunia la mchele Hilo watu wanabeba wanaondoka naloJamaa anachukulia kilo 120 kama kiroba cha unga wa mahindi/ngano cha kilo 25! 😁
🤣🤣🤣.. Mzee wa hovyo! Mkewe watamdinya vilivyo sio!!Kweli kabisa.
Sisi wazee hiki ni kitu muhimu sana.
Kutunza fedha na documents muhimu.
Mleta uzi ukiweza weka discount kwa wazee.
Ila kijana kifo hakina umri hata wewe kijana unaweza kufa na kumuacha mkeo watu wakiendelea "kumdinya" haswa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]falaa sana wee mzeee...Kweli kabisa.
Sisi wazee hiki ni kitu muhimu sana.
Kutunza fedha na documents muhimu.
Mleta uzi ukiweza weka discount kwa wazee.
Ila kijana kifo hakina umri hata wewe kijana unaweza kufa na kumuacha mkeo watu wakiendelea "kumdinya" haswa.