Tetesi: Safe za mabenk au vyumba vya kuwekea hela viko sehemu gani kwenye mabenki na je ramani za vyumba vya pesa kwenye mabenki zinafanana kama vituo vya afy

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Naomba kujua
1.Safe za hela zinafananaje picha plz
2.Ramani za mabenki zinafanana Kama zinavyofanana zahanati za afya na nyumba za walimu
3.mbona bank manager hajifichi anaonekana wazi
4.Sare wanazovaa wafanyakazi wa bank huwa wanaambiana?
5.Vaults zinafananaje
6.Naweza kutembelea ghala la hela bank kuu Kama ninavyotembelea mikumi au selou kwa utaratibu
7.Bank kuu wanalinda komando au ffu

Itakuwa safi nikipata majibu
 
Kuna siku utataka uelekezwe zinapohifadhiwa silaha jeshini au kituo cha police kwa mwenendo huo unaouanza. Tafakari kabla ya kuzungumza kitu kama hiki.Tunakupenda sana
 
Hiyo ni elimu tu kwa watu wanaotaka kujua maarifa mapana acheni uoga kwani aliyekuambia silaha za majeshi hazijulikani zinapokaa ninani kwani zinakaa hewani c zinakaa aridhini
 
Naomba kujua
1.Safe za hela zinafananaje picha plz
2.Ramani za mabenki zinafanana Kama zinavyofanana zahanati za afya na nyumba za walimu
3.mbona bank manager hajifichi anaonekana wazi
4.Sare wanazovaa wafanyakazi wa bank huwa wanaambiana?
5.Vaults zinafananaje
6.Naweza kutembelea ghala la hela bank kuu Kama ninavyotembelea mikumi au selou kwa utaratibu
7.Bank kuu wanalinda komando au ffu

Itakuwa safi nikipata majibu
Piga kazi kijana. Acha kufikiria wizi.
 
ukishakamlisha mpango wako nitafute nikupe dawa ya kukufanya usionekane na mtu yeyote ukiingia benki,na kama kuna hatari hicho kidude kitabana mkono kuashiria huko sio shwari
IMG-20190118-WA0027.jpg
 
Hata ATM ina safe na zinalindwa na Migambo.
 
Naomba kujua
1.Safe za hela zinafananaje picha plz
2.Ramani za mabenki zinafanana Kama zinavyofanana zahanati za afya na nyumba za walimu
3.mbona bank manager hajifichi anaonekana wazi
4.Sare wanazovaa wafanyakazi wa bank huwa wanaambiana?
5.Vaults zinafananaje
6.Naweza kutembelea ghala la hela bank kuu Kama ninavyotembelea mikumi au selou kwa utaratibu
7.Bank kuu wanalinda komando au ffu

Itakuwa safi nikipata majibu
Wewe jambazi nini? Ukishajua what next!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom