Naona unataka ku disclose secretNitafute nitakupa info ya yote unayotaka kujua.. [emoji4]
Piga kazi kijana. Acha kufikiria wizi.Naomba kujua
1.Safe za hela zinafananaje picha plz
2.Ramani za mabenki zinafanana Kama zinavyofanana zahanati za afya na nyumba za walimu
3.mbona bank manager hajifichi anaonekana wazi
4.Sare wanazovaa wafanyakazi wa bank huwa wanaambiana?
5.Vaults zinafananaje
6.Naweza kutembelea ghala la hela bank kuu Kama ninavyotembelea mikumi au selou kwa utaratibu
7.Bank kuu wanalinda komando au ffu
Itakuwa safi nikipata majibu
Ni kijana mdogo utamuunguza njoo kwangu Mimi mkubwa mwenzako uoneNitafute nitakupa info ya yote unayotaka kujua.. 😊
ukishakamlisha mpango wako nitafute nikupe dawa ya kukufanya usionekane na mtu yeyote ukiingia benki,na kama kuna hatari hicho kidude kitabana mkono kuashiria huko sio shwariNaomba kujua
1.Safe za hela zinafananaje picha plz
2.Ramani za mabenki zinafanana Kama zinavyofanana zahanati za afya na nyumba za walimu
3.mbona bank manager hajifichi anaonekana wazi
4.Sare wanazovaa wafanyakazi wa bank huwa wanaambiana?
5.Vaults zinafananaje
6.Naweza kutembelea ghala la hela bank kuu Kama ninavyotembelea mikumi au selou kwa utaratibu
7.Bank kuu wanalinda komando au ffu
Itakuwa safi nikipata majibu
Wewe jambazi nini? Ukishajua what next!Naomba kujua
1.Safe za hela zinafananaje picha plz
2.Ramani za mabenki zinafanana Kama zinavyofanana zahanati za afya na nyumba za walimu
3.mbona bank manager hajifichi anaonekana wazi
4.Sare wanazovaa wafanyakazi wa bank huwa wanaambiana?
5.Vaults zinafananaje
6.Naweza kutembelea ghala la hela bank kuu Kama ninavyotembelea mikumi au selou kwa utaratibu
7.Bank kuu wanalinda komando au ffu
Itakuwa safi nikipata majibu
MnafanyajeHahaha....vitu vidogo sana hivyo. Mbona hujataka kujua tunawekaje hela kwenye ATM na kuzipangilia hadi buku tukitaka inatoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kijana mdogo utamuunguza njoo kwangu Mimi mkubwa mwenzako uoneNjoo pm tufanye mpango wa kuonana nikupe taarifa zote.