Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa bado anaweza ingawa alinkera kukubali kutumika kibwege lkn bado nkubli mziki wake esp song lake la sasa na AY N
J MARTINS...CHEZACHEZA BILA...natagemea deo la ukweli sana
Msanii msomi aliyekubali kutumika na wasio wasomi.
Jamani hebu na mm mnijuze,maana naskia haka kakijana kasomi,hem mwenye cv atuanikie hapa,tusiojua tufaham usomi wake Bandugu.Msanii msomi aliyekubali kutumika na wasio wasomi.