safi mwanafa

Mbnative

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
332
Reaction score
77
jamaa bado anaweza ingawa alinkera kukubali kutumika kibwege lkn bado nkubli mziki wake esp song lake la sasa na AY N
J MARTINS...CHEZACHEZA BILA...natagemea deo la ukweli sana
 
jamaa bado anaweza ingawa alinkera kukubali kutumika kibwege lkn bado nkubli mziki wake esp song lake la sasa na AY N
J MARTINS...CHEZACHEZA BILA...natagemea deo la ukweli sana

ww sio mwanafa.t.u.m.a kweli?
 
Msanii msomi aliyekubali kutumika na wasio wasomi.
 
Si mbaya as long as anajua anachofanya
 
Big up mwanafa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mwana FA nilimdharau kwa kiasi kikubwa sana baada ya kutumika kama CONDOM...
 
Msanii msomi aliyekubali kutumika na wasio wasomi.
Jamani hebu na mm mnijuze,maana naskia haka kakijana kasomi,hem mwenye cv atuanikie hapa,tusiojua tufaham usomi wake Bandugu.
 
FA naye kumbe msomi, napata mashaka sana na usomi wake , ingekuwa gash tungesema labda kapata degree ya pi-chu, lakin huyu wa kiume labda alinunua huo usomi wake, msanii msomi hapa TZ ni nikki wa pili hata jinsi anyofafanua mambo unaona kweli hili jembe lenye UPEO MPANA KATIKA MAMBO MBALIMBALI na kweli anasifa ya kuongeza degree ya pili, SALAMA jabir alishawai kumuambia AY ni msanii wa kawaida lakini fighter hata naamini hilo kwa nyimbo zake anazoimba na wasanii wa nje zinakua za kawaida ukilinganisha na wasanii kama kina wyre ambao wanaendelea kupenya tu huko mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…