Safi sana Harmonize kwa wimbo mpya wa Wapo

Safi sana Harmonize kwa wimbo mpya wa Wapo

SALOK

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
3,364
Reaction score
2,001
Wimbo mpya wa kufungia mwaka, uliosheeni mashairi mazuri, maudhui ikipambwa na ladha tamu ya sauti iliyoendana vyema na ghunna!!

Harmonize wa enzi zile ndiye huyu sasa! Ni aache tu mitifuano mipasho pasho na kundi lile lake la zamani.

 
Ili uone kuwa umeandika Pumba na Kusifu Upuuzi Uzi umeuanzisha Saa 7 na dakika 59 Mchana 2020 post ya Kwanza ni Saa 6 hii ya Mwaka 2021.
Leo bandiko lolote haliwezi kutembea


Chakwanza watu wapo busy na familia zao wanasheherekea mwaka mpya


Wana JF Leo wapo bwasi


Al in all mambo mengi muda nimchache...


Harmonize kaachia chombo
 
Leo bandiko lolote haliwezi kutembea


Chakwanza watu wapo busy na familia zao wanasheherekea mwaka mpya


Wana JF Leo wapo bwasi


Al in all mambo mengi muda nimchache...


Harmonize kaachia chombo
Haromize Kaachia Chombo ila Diamond alishaachia Dude la WAAH ambalo hadi hivi sasa lina hit tu airwaves zote za Tanzania na Afrika Kiujumla.
 
Halafu Mwambieni huyo sijui Harmonize wenu kuwa anahitaji miaka kama 15 ijayo Kujilinganisha na Kumfikia Diamond hivyo asijipotezee muda.
njoo polepole mkuu, hamuwezi kupambana na nguvu ya jeshi

Chukueni Kijiji kizima Hapo usafini lakn hamuwezi kumshusha Konde Boy Mjeshi
 
Kumlinganisha Diamond na Harmonize ni sawa na Kumlinganisha Lionel Messi na Waziri Junior je, Kwako Wewe Ndugu hii inawezekana Kweli au?
swali gani Tena ilo ulisomea Lumumba?


Harmonize ndio msanii mkubwa kwasasa Tanzania Diamond kabaki jina


Jeshiiiiiiiii
 
Kwa ukubwa wa lile Pua lake na Bichwa lake hapa nitakubaliana nawe Ndugu ila katika Uimbaji, Uhodari na Ubunifu sijaona kama Diamond nchini.
ahahaha naona malegendi wamerudisha Vita wanahofia eti kisa jeshi nawapita

Credit by harmonize
 
Halafu Mwambieni huyo sijui Harmonize wenu kuwa anahitaji miaka kama 15 ijayo Kujilinganisha na Kumfikia Diamond, hivyo asijipotezee muda.

Mkuu Harmonize hashindani na mtu anafanya mziki wake tu mkuu, na ukitaka ukae vizuri hapa duniani usishindane we fanya mambo yako yatimie tu mkuu
 
Halafu Mwambieni huyo sijui Harmonize wenu kuwa anahitaji miaka kama 15 ijayo Kujilinganisha na Kumfikia Diamond, hivyo asijipotezee muda.

Alafu usimbeze harmonize ni mkali yan anaandika sana kama anaandika yeye
 
Tatizo watu wengi hupenda kutoa sifa za mtu akiwa amekufa badala ya kumpatia Akiwa hai.

Kiukweli Diamond amejitahidi na ameweka juhudi katika kuutangaza mziki wetu kimataifa.

Harmonise anaharibu kwa kuanza kutoa maneno ya kejeli Mahali palipomsaidia kisa leo amekua na jina, angekumbuka wema mdogo wa mtu kukuthamini pale ambapo wengine walikua hawakuthamini( maana BSS walimtema)

Aache maneno ya shombo apambane kimyakimya tunataka mziki hatutaki madongo!
 
Back
Top Bottom