Wachambuzi timu lenu limefungwa huko ila najua hamkosi cha kusema. Mmewadanganya sana wenzenu kwa tabiri na sifa nyingi za kijinga mkasahau kuwa hii ni soka.
Mliipa nafasi kubwa ili kuzifanya timu msizozipenda zijione ziko chini sana. Mnataja wachezaji walio timu za taifa ukimtaja Aucho unajidai hujui kuwa Mukwala naye anacheza timu hiyo hiyo.
Wacha Mbuzi poleni