ona hapahivi vinafanya yoteView attachment 930927
Ganzi maeneo gani mkuu?Ninsasumbuliwa na ganzi, ila kwa kweli kwa sasa nahitaji kutumia dawa za miti shamba, maana hizi zote naona ni kama wale wale tu.
Ganzi maeneo gani mkuu?
kutopona kunatokana na vitu vifuatavyo
kuto fuata maelekezo ipasavyo na bidhaa kukosa ubora
Jaribu mafuta ya karafuu mkuuanayejua dawa ya jino bila kung'oa wazee tafadhalini
Kariakoo zimejaa sanaanayejua dawa ya jino bila kung'oa wazee tafadhalini