Safisha mwili tumia hizi juisi kwa muda wa siku 7-refreshing body cleanse juice recipe

Safisha mwili tumia hizi juisi kwa muda wa siku 7-refreshing body cleanse juice recipe

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
A few times a year it is always a smart idea to cleanse the body. Many people swear by laxatives and colonics; others prefer teas and fasting. But one method that anyone can wrap their head around is juicing.


Here is an all-natural blend that you should consider during the weeks you designate for cleansing throughout the year:



Ingredients:
1 Apple
1/2 Cup Pineapple Chunks
2 Stalks of Celery
1 Lemon
2 Oranges
1/3 Cup Cranberries
Blend that together and drink daily for one week.

HAYA TENA SAFISHENI MWILI WENU KWA KUNYWA HAYA MATUNDA SIKU 7
 
Some where walisema juisi ya bilinganya pia inafaa sana kwa kuondoa sumu mwilini.
 
Mkuu MziziMkavu,tunashukuru sana kwa mchango wako mkubwa unaoutoa kwa wote wenye uhitaji. Umejaliwa elimu ya maarifa tofauti tofauti ambayo mara zote umejitolea kutushirikisha kwa moyo wako wote tena bure kabisa.Wewe ni miongoni mwa wazalendo wa kweli waliopo huko ughaibuni ambao kamwe hawakusahau kwao.Naamini michango yako unayoitoa humu JF ktk majukwaa tofauti tofauti,imesaidia sana kubadiri maisha ya wa TZ wengi. Tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu azidi kukubariki katika kazi zako na akujalie afya na nguvu.
 
Tayizo hapo kuna vidude vingine hata sivijui na sijawahi kuviona ,mf.cranberries pamoja na kuvitiazama google lakini bado sijajua ni vinini na vinapatikana wapi
 
nawezaje kuipata juic hii na ni kiasi gani , na natakiwa kuitumia kwa muda gani

Ingredients: Utengenezaji wake .

1 Apple Tunda la Tufaha Moja.

1/2 Cup Pineapple Chunks Vipande vya Nanasi nusu kikombe.

2 Stalks of Celery mboga ya Celery inapatika katika maduka makubwa ya super Market.

1 Lemon Limau Moja.

2 Oranges Chungwa moja.

1/3 Cup Cranberries kidogo matunda ya Cranberries yanapatikana katika maduka makubwa ya super Market hapo mjini.

Katakata vipande vidogo sana tia katika mashine ya Blenda saga pamoja na maji kidogo kunywa kila siku kwa muda wa siku 7
 

Attachments

  • tufaha.jpg
    tufaha.jpg
    8.4 KB · Views: 340
  • Stalks of Celery.jpg
    Stalks of Celery.jpg
    153.1 KB · Views: 113
  • Cranberries.jpg
    Cranberries.jpg
    11.1 KB · Views: 418
  • Chungwa.jpg
    Chungwa.jpg
    5.1 KB · Views: 89
  • Lemau.jpg
    Lemau.jpg
    8.2 KB · Views: 340
  • Nanasi.jpg
    Nanasi.jpg
    7.4 KB · Views: 92
Back
Top Bottom