Safu mpya ya uongozi wa TEC imenivutia sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Safu mpya ya uongozi wa Juu wa TEC imekaa vizuri sana just tu Kwa sababu panda ndipo nilipozaliwa, singida ndipo nilipokulia na kusoma na lindi ndipo nilipo Kawa kula maisha nilikopangiwa kuishi na kuendelea.

Dhehebu langu Lutheran ila roman ningeweza kuwaga so huwa naendana nao yaani means hawanaga shida wala kelele Safi Sana. Nina imani na uongozi wao akili nyingi zimetumika.

8a2bdb1b8cd64746a1f29464c30dab6e.jpg
 
View attachment 3023228
Weka mbali na Albino
 
Back
Top Bottom