Sawa, Sasa kama kipa ni safu ya ulinzi na ametimiza majukumu yake ipasavyo, inakuwaje nawasikia wachambuzi wakisema eti, "kipa amewaokoa wangefungwa sana Leo!"Inategemea. Mkiwa timu mbovu na mkawa mmezidiwa mchezo timu nzima mnageuka safu ya ulinzi.
Ila naturally safu ya ulinzi inaundwa na kipa, mabeki wa kati wa wiwili na mabeki wa pembeni wawili pamoja na kiungo ambaye anaweza kuwa mmoja au wawili.
Yote itategemea na mfumo wa timu.
Labda kama unazungumza wa wachambuzi wa nchi nyingine. Lakini kama unazungumza wachambuzi wa hapa Tz umepotea njia. Tz hatuna wachambuzi tuna wacha- MBUZI .Sawa, Sasa kama kipa ni safu ya ulinzi na ametimiza majukumu yake ipasavyo, inakuwaje nawasikia wachambuzi wakisema eti, "kipa amewaokoa wangefungwa sana Leo!"
Kwani hawana uelewa kuwa kipa anatimiza jukumu lake Kwa weledi?
Sent from my Infinix X6512 using JamiiForums mobile app
Nimeamini kabisaLabda kama unazungumza wa wachambuzi wa nchi nyingine. Lakini kama unazungumza wachambuzi wa hapa Tz umepotea njia. Tz hatuna wachambuzi tuna wacha- MBUZI .
Kweli kuwasikiliza hao wacha-MBUZI ni matumizi mabaya ya mudaHuo muda wa kuwasikiliza wachambuzi wa hapa home unauoata wapi,,, kipa ndie mlinzi namba moja alafu beki na midfielders mmoja au wawili
MAJINI?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda kama unaxungumzia timu nyingine ila kwa timu yangu ya Yanga ina sifamoja kubwa inayojitofautisha na timu nyingine average. Safu ya ulinzi inaanzia kwa mshambuliaji mwenyewe halafu viungo inakuja kutamatishwa na mabeki. Same kwa ushambuliaji inaanzia kwa Goalkeeper, mabeki, viungo na washambuliaji.
Mpira ni science huwezi tu from no where ukapanga mabeki ukitegemea wao ndio watakaba peke yao sasa nini maana ya kuwa na DM, CM, AM, RB, LB, RW, LW hawa kazi yao sio tu kwenda kushambulia golini wanatakiwa pia wawe wepesi kuja kuziba mafasi zao ambazo zinaweza tumika na wapinzani kushambulia. Kama hapo itashindikana ndio yatatumika majini sasa.
Hahahahaha...umewaza vzr sana nadhani huko mbele wata introduce huo mfumo ukiwemo na golikipa, maana soka la sasa linahitaji kipa mwenye footwork ili awe sehemu ya mfumo ktk kuanzisha mashambuliziNa wanasemaga kipa nae ni mchezaji lakini katika formation zote za mpira huwa sioni kipa akitajwa, utaskia 4:4:2, 4:2:3:1 au 4:14:1 na nyingine nyingi..
Swali langu kwanini wasiwe wanaanza na 1:4:4:2 au 1: 4:3:3:1 au kwasababu yenyewe ni constant kwamba kipa lazima awe mmoja..?? Magolie wanabaguliwa Sana asee
Kuna kina Pep Gurdiola yeye anacheza na watu watatu nyuma huku Beki wa kulia akipanda mbele.Naomba kujuzwa na Wabobezi, kwani katika Mpira wa miguu, safu ya ulinzi inaundwa na wachezaji gani? Na je, goalkeeper ni sehemu ya safy ya ulinzi?
Nauliza hayo Kwa sababu imekuwa ni kawaida Kwa hao wachambuzi kusema safu ya ulinzi ni mbovu, lakini kipa amefanya kazi kubwa sana na anastahili pongezi na bila uhodari wa kipa basi Leo magoli yangekuwa mengi. Mimi nijuzeni je, kipa sio sehemu ya ulinzi wa timu ili goli lisiingie?
Sent from my Infinix X6512 using JamiiForums mobile app
Inategemea na mfumo wa Mwalimu wa Timu Kuna waumini wa kuzuia mwanzo mwisho mbele anabaki mtu Moja , nyuma na katikati ya uwanja anajaza watu mfano Diego Simone wa Atlatico Madrid nyuma watu Saba. Mwingine Jose Mourinho naye anaweka watu zaidi ya Sita nyuma.
timu yoyote duniani kipa ni mmojaNa wanasemaga kipa nae ni mchezaji lakini katika formation zote za mpira huwa sioni kipa akitajwa, utaskia 4:4:2, 4:2:3:1 au 4:14:1 na nyingine nyingi..
Swali langu kwanini wasiwe wanaanza na 1:4:4:2 au 1: 4:3:3:1 au kwasababu yenyewe ni constant kwamba kipa lazima awe mmoja..?? Magolie wanabaguliwa Sana asee
utakuwa hujakutana na Neuer wa Bayern Munchen ndio maana unasema hivyowalinzi kwenye mpira ni wachezaji amabo jukumu lao kubwa ni kukaba, Kipa sio mlinzi maama yeye hatoki golini kwenda kukaba. wachezaji wote wanaweza kukaba pia japo jukumu lao kuu sio kukaba, mfano washambuliaji jukumu lao kubwa ni kufunga japo huwa wanarudi nyuma kukaba