SageWap | News and Business - Tuungane ili Tufanikiwe Katika hili! Natafuta Sponsor wa Kuwekeza Kwenye Website hii ya Habari na Biashara

SageWap | News and Business - Tuungane ili Tufanikiwe Katika hili! Natafuta Sponsor wa Kuwekeza Kwenye Website hii ya Habari na Biashara

Sage Hamisi

Member
Joined
Dec 25, 2013
Posts
6
Reaction score
17
Tuungane ili Tufanikiwe Katika hili! Natafuta Makampuni au Taasisi Mbalimbali Zitakazo Dhamini Project hii niliyoiandaa ya Biashara na Habari ni Website ambayo itafanya Kazi Duniani Kote itakua ya Kuuza na Kununua Bidhaaa Mbalimbali Pia Huduma nyingine itakazotoa ni Habari News Zilizotrend Duniani Kote Muundo umekaa Vizuri kwa Wasomaji na Wauzaji na Wanunuzi Naomba makampuni yanidhamini kwa ajiri ya Kushare Biashara zao kwenye Website yangu na Matangazo ya Makampuni yatawekwa Verified Mda wote na Kwa Kila Page Pia kama Kuna Vijana watahitaji tuungane Tufanye kazi Pamoja nawakaribisha Pia ili Tujikwamue Kiuchumi!! Nawakaribisha Ndugu zangu Wafanya Kazi nitaanza na Wafanya Kazi Kumi wa Mwanzo So Fulsa kwako Kijana Popote Ulipo utapata Ajira TUUNGANE!! SageWap | Buy and Sell with Trending News all over the World Call 0714277452
 

Attachments

  • nbmmn.PNG
    nbmmn.PNG
    45.3 KB · Views: 37
  • News and Businesss.png
    News and Businesss.png
    112.5 KB · Views: 42
Back
Top Bottom