SoC02 Sahani ya wanyonge yavunjwa na wakuu

SoC02 Sahani ya wanyonge yavunjwa na wakuu

Stories of Change - 2022 Competition
Joined
Jul 31, 2022
Posts
1
Reaction score
0
1659248388716.jpg

SAHANI YAVUNJWA NA WAKUU

Katika nchi yetu ya Jamuhuri ya Tanzania na ulimwengu kiujumla, swala la WANYONGE kutopata HAKI Yao limekua jambo la kawaida sana hususa ni kwa wale wasiokua na uwezo binafsi wa kupambania haki zao.Viongozi wenye nyadhifa za juu serikalini pia katika taasisi mbalimbali wamekua chanzo kikuu Cha kuvunjavunja haki na masirahi ya watu wa Hali ya chini kwa njia tofauti tofauti.

KUTAKA KUJITUKUZA WAO BINAFSI BILA KUJALI WATU WENGINE WA HALI ZA CHINI.
Viongozi wameweka masirahi Yao binafsi katika kujikwenza na KUJITUKUZA WAO hivyo kuwakosesha WANYONGE haki zao mfano mtu anaamka asubuhi na kwenda kujitafutia liziki yake ya kila siku lakini anakutana na watu wanaotaka KUJITUKUZA WAO Kama wao na kutumia madaraka Yao kuwanyanyasa mfano mzuri walimu wakuu unakuta anafika shuleni mda umeenda kwelikweli lakin akifika kiongozi mkuu zaidi yake na kukuta mapungufu akiuliza anaanza kukandamiza walimu wengine kua hawafatilii ilimladi yeye asionekane na makosa..Kwa Hali hiyo hatuwezi kufika sehemu yote yapaswa kila KIONGOZI na kila RAIA afanye wajibu wake sawasaw bila kuangalia mafanikio yake binafsi.

WIVU WA VYEO
Katika taasisi mbalimbali na ofisi za serikalini ukienda utakutana na ugomvi juu ya vyeo mbalimbali katika ofisi husika hivyo mtu anatumia udhaifu wa mwenzake ili yeye kupata cheo tu tukumbuke "CHEO HAKIDUMU ILA HAKI HUDUMU" maumivu anayopitia mnyonge Katika kutafuta haki yake hakuna ajuaye ni njia zipi ngumu anapitia kupata kile apatacho kwahiyo Kama unataka kupata CHEO hauna budi kufanya KAZI kwa bidii ili upate CHEO unachotaka lakini usitumie mgongo wa mnyonge kupata CHEO flani hiyo haikubaliki kanisa Katika sheria wala vitabu vya dini "SAHANI YANYONGE IACHE ITUMIKE APENDAVYO USIIKIMBILIE NA KUMNYANGANYA ILI HALI UKIJUA KUA NDIO TEGEMOEO LAKE HILO"

URAFI NA TAMAA ZA KIMWILI
Naposema URAFI namaanisha Kuna viongozi wanakula SAHANI zao lakini hawatosheki wanatamni pia wapate na SAHANI za wengine hususa ni wale wasio na uwezo wa kujipambania wap peke Yao mfano mzuri ni wale viongozi wanaopewa mishahara ya kugawia wafanyakazi hususa wale vibarua wa mda unakuta kiongozi anapewa pesa lakini anachofanya anakua anapunguza kiasi flani kwa kila mfanyakazi ili ile anayoikata aipate yeye huonni URAFI tu na hakuna kingine.Kingine ni tamaa za kimwili Yani kiongozi Yuko tiali kumdhalilisha mtu mwingine kingono kwa sababu tu hana uwezo wa kujipigania au kupata KAZI kwahiyo anatumia udhaifu huo Kwake kukamilisha tamaa zake za kimwili hiyo inatakiwa kupigwa kwa asikimia zote lakini pia yatupasa kufungika tumapoyaona haya yakitokea maana hiyo anaefanyiwa hivyo na ukakaa kimwa ni sawasawa na wewe umeshiliki kumdharirisha kingono maana huwezi ona jambo baya ukafurahia kama na wewe sio muhusika yena sio muhusika tu Bali ni MUHUSIKA MKUU PIA.

NJIA ZA KUSAIDIA SAHANI ISIVUNJWE NA WAKUU

KILA RAIA ATAMBUE WAJIBU WAKE NA HAKI YAKE,nadhani litakua jambo la maana sana Kama kiongozi na raia wakitambua haki zao na wajibu wao maana hakuna atakaekubali kunyangaswa na akakaa kimya Kama akiwa anafahamu wajibu na haki zake kwa usahihi kanisa na itapunguza wimbi la makosa yanayofanywa na viongozi wakuu kwa kujiona wao ndio wao.

KUBORESHA USIMAMIZI KATIKA MAENEO MBALIMBALI KATIKA JAMII ZETU,Kama serikali itaona umuhimu wa KUBORESHA USIMAMIZI wa mambo yanayokua yakitendeka katika jamii zetu itasaidia zaidi na kuwa karibu zaidi na wanajamii na kurahisisha ushirikiano pale linapotokea jambo linamkandamiza mtu wa chin na kumsaidia kupata haki yake kwa urahisi.

SERIKALI NA MASHIRIKA BINAFSI KUHIMIZA NA KUPINGA UNYANYASAJI WA WATU WANYONGE KATIKA SEKTA NA TAASISI MBALIMBALI,Serikali ikishirikiana na MASHIRIKA binafsi yanapaswa kutumia muda wao kipinga unyanysaji wa wanyonge kwa kuweka MIKUTANI YA HADHARA YA KUPINGA UONEVU WA BINADAMU,KUANDAA MATANGAZO MAALUMU KWA AJILI YA KUPINGA UONEVU NA UNYANYASAJI WA BINADAMU,KUELIMISHA JAMII KUA BINADAMU WOTE TUKO SAWA BILA KUJALI VIPATO VYETU AU HALI ZETU ZA KIMAISHA.

SHERIA KALI ITUMIKE ILI KUKOMESHA UVUNJWAJI WA SAHANI YA WANYONGE(HAKI YA WANYONGE),lazima iwekwe sheria itakayomadhibu mtu yeyote anayechangia na anayesababisha unyanysaji kwa watu wasio na uwezo wa kujipigania wao kwa wao lakini pia kutoa onyo kwa yeyote yule anayekua amehusika sheria ifanye kazi bila KUJALI cheo chake wala nyadhifa yake kazini ili haki igendeke sawasawa bila ubaguzi.

NB: Watanazia wote na ulikwengu kiujumla yatupasa kutoa tofauti zetu ili kuweza kufanikisha kupinga unyanyasaji na unyinyaji wa haki za binadamu maisha haya mwelekeo maalumu leo unapata uongozi kesho unaweza kukosa cha msingi tupambane tufikie hatua bora na ya maendeleo katika jamii zetu husika kwa ujumla tushikamane.

Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Dunia nzima na kila mtu afanye wajibu wake tupinge uvunjwaji wa sahani ya wanyonge(haki ya wanyonge).

Imeandaliwa na kuletwa kwenu nami Thanks Filemon Migezo.
 
Upvote 2
Back
Top Bottom