Said Fella: Harmonize kama ameondoka ni vizuri akiaga

Kwakuwa hatujawa na sheria ya time limit kwenye contracts basi hukuna jinsi bali ni kukubaliana na mambo yalivyo mpaka sheria zitakapobadilishwa.
Rejea issue ya Harmonise maelezo ya Fela ni kuwa mkataba haumfungi,yuko huru kutoka wakati wowote anaotaka ila ombi lake ni kuwa aage kiustaarabu ili kusiwepo mazingira ya beef baina yake na WCB lakini nionavyo kama ni kweli ametoka itakuwa ni faida kwake akitengeneza beef.
Beef itamsaidia kwani haters wa Diamond na haters wa WCB automatically watageuka fans wa Harmonise, ila ikitokea hiyo Kiba ndiyo atakuwa amepotea jumla.
 

Mimi nilijika kwenye mikataba ya wasanii zaidi ya mgogoro wa Harmonize personally na Kampuni ya WCB. Nadhani mwaka jana au juzi nilisoma msanii mmoja akilamikia BASATA kuwa alipewa mkataba wa miaka kumi na WCB akiwa anatakiwa kukatwa 20% ya mapato yake. Kwa vyovyote mkataba ule haukuwa mzuri hata kwa macho ya haraka haraka, na ndiyo iliyokuwa kichwani mwangu katika kuandika vile.
 
Huyu mzee anaandika mwandiko mbaya sana uliochanganyika na kiswahili kibovu aise.."vinzuri" "wadisia" "washauli" etc. Inaboa smtmz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…