Said Fella muache Aslay huru

Kama kitu hujui bora uulize tu.

Ya moto band imevunjika kisa ugomvi wa demu wa Aslay na Maromboso .

Ya moto band wote na demu wa Aslay walikuwa wanaishi nyumba moja .

Kuna siku Maromboso aliingiza demu katika hiyo nyumba sasa demu wa Aslay kile kitendo hakikupenda kwa hiyo alimpigia simu demu wa Maromboso na kumweleza kila kitu anachokifanya Maromboso na huyo demu aliyemleta.

Kitendo hicho kilimkera Maromboso na akamtandika makofi demu wa Aslay,demu wa Aslay akaja kumshtakia Aslay jinsi alivyopigwa na shemeji yake (Mboso)

Hapa ndipo ulipoibuka ugomvi kati yao na Aslay akaamua kuondoka katika hiyo nyumba akaenda kuishi mbali na demu wake akaacha Enock Bela ,Mboso na Beka na huu ndio ukawa mwanzo wa kundi kuvunjika , na Aslay akaanza kutoa nyimbo nyingi sana kama solo artist,Mboso akaenda WCB ,Beka na Bela nao wakaamua kuwa solo artists kama Aslay.
 
Wanataka kuwa recruit katika kile chama chao pendwa,nazani unaporecruit wengi credit zinaongezeka.

Sasa kundi likiwa imara kuwashawishi inakuwa vigumu, unajua kule kwenye chama wengi wanaingia sio kama wamependa. Njia kuwashawishi na kuwapata ni wakati wakiwa wamekata tamaa na only option ni kujiunga na chama, mfano ni yule mwanamuziki aliyeimba Ibaki historia.
 

Mkuu kwa huu utiririkaji na usererekaji wako ni kwamba 100% unaonekana Wewe ni Mtu wa karibu sana na Dogo Aslay. Tafadhali unaweza kuniulizia Kwake au kama Wewe unaweza kumjibia basi si vibaya kwamba kwani Dogo Aslay akiwa anaimba anapenda sana kubana Pua, Kurembua macho na kujibinuabinua sana makalio / matako huku akijilambalamba mno mdomo?

Nitashukuru nikijibiwa haya maswali yangu ' Kuntu ' kabisa.
 
Unawasiwasi kwamba ni chakulaa
 
Uzi mzito [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Huyu Aslay na swaga zake za Muumini Mwinjuma apambane na hali yake tu. Hii tabia ya wabongo kila kukicha kulialia tumeshachoka .
 
nyimbo gani aichezwi kama sio umbea huo kumsema mzee wawatu fela
 
Lawama hizi zinadhihirisha game imewashinda sasa,mmetoa nyimbo mfululizo zinafanana mpaka kero,mmeanza kutafuta pa kufia



KOMAENI NA HALI ZENU BANAAA,MJINI NI WCB TU FULL UBUNIFU FULL KUTANUA SOKO,MAMBO YA SIJUI CHUKI,KAUNGANEN UPYA NA TEAM ZENU ZILE ZA KINA KIBAKULI,JOJO KINA WEMA NA H.BABA PAMOJA NA BOB JUNIOR MMETAWANYIKA KAMA NYUMBU
 
wama hizi zinadhihirisha game imewashinda sasa,mmetoa nyimbo mfululizo zinafanana mpaka kero,mmeanza kutafuta pa kufia



KOMAENI NA HALI ZENU BANAAA,MJINI NI WCB TU FULL UBUNIFU FULL KUTANUA SOKO,MAMBO YA SIJUI CHUKI,KAUNGANEN UPYA NA TEAM ZENU ZILE ZA KINA KIBAKULI,JOJO KINA WEMA NA H.BABA PAMOJA NA BOB JUNIOR MMETAWANYIKA KAMA NYUMBU
 
Tusitumie nguvu ya Wasafi kuhakikisha tunazuia uwezo wa Aslay. Ndiyo maana bila aibu Diamond anamtumia Maromboso leo baada ya kuhakikisha Yamoto Band imekufa, Fella wewe ni sehemu ya mkakati huu na Diamond alikuwa mshauri wa Yamoto.
Hebu fafanua hapa...
1. Ni kwamba ulitaka WCB wasimchukue Maromboso, au?

2. Kama jibu ndiyo, kwanini iwe nongwa kwa WCB kuchukua member wa Yamoto wakati hata Beka Flavor hivi sasa na yeye anafanya shughuli zake?

3. Au ulitaka WCB wasim-promote Mamboroso?!

4. By the way, mbona hamkusema haya miezi kadhaa iliyopita zilipotolewa taarifa za Mamboroso kujiunga WCB na badala yake mnaanza kulia lia baada ya kuona anaanza kuingizwa sokoni?

Hoja yako hasa ipo wapi?!
 
Huu nao ni uongo mtupu...nyimbo gani ya Aslay ambayo inazuiwa isichezwe? mbona kila leo zinapigwa? acheni kuchonganisha watu
Yaani hii nchi ina watu wa ajabu sana! Halafu nimeshindwa kuelewa wanapoongizwa WCB na Mamboroso... ni kwamba alitaka WCB wasimchukue Mamboroso au wasimtangaze.. au nini hasa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…