Said Fella muache Aslay huru

Fella ni mbaya ila mkienda kwa wazuri bado mnalalamika fela anawabania.
 
Ninachoamini ni kwamba huwezi kulizuia jua lisiwake. Kama msanii ni mzuri hata ufanye nini nyota yake itang'aa kama jua binadamu hawezi kuzuia riziki ya binadamu mwenzake ni Mungu tu mwenye uwezo huu mwanadamu anaweza kuchelewesha tu na si kuzuia
 
Huna akili kabisa,so wasanii wote waende kujiunga na wcb ? Au waache kuimba wawachie wcb? Stupid mind
 
Fella amwache aslay, wakati ana asilimia zake kwa aslay au kijana hajamsikia jana mkubwa fella, japokuwa mbosso yupo WCB lkn fella ana asilimia zake na hivyo hivyo kwa beka, kwa hiyo hawezi haribu biashara yake
 
Kwahiyo ulitaka mboso asipate pa kwenda. Halfu mboso na mondi wapo karibu siku nyingi.
Aslay pambana na hali yako. Nyimbo zako zinapigwa sana usitafute kupata huruma ya umma. Wivu tu ulifikiri wenzio hawatapata channels
 
Huna akili kabisa,so wasanii wote waende kujiunga na wcb ? Au waache kuimba wawachie wcb? Stupid mind
Unamtolea nan povu wewe,acha tabia za ubunuasi,chuki ni mwanzo wa ushirikina,jirekebishe
 

Nami naziona hizo dalili mbaya kwa kijana.. kubinua midomo na kulegeza macho kwa mtoto wa kiume si dalili njema hata kidogo
 
Shida yetu wabongo kila mtu anajidai ji mshauri pale anapoona mafanikio yameshatokea. Fella ndo mwanzilishi wa Yamoto na Tale ndo mwanzilishi wa TipTop. Huyo Aslay kwa Fella ni kama mwanae maana ye ndio kamuunda.. Sa utasemaje wanahujumu vitu walivyovianzisha wao kwa jasho lao na pesa zao. Kama wameziua hizo band ni kwa makusudi kabisa na ni sababu za kibiashara. We ukinunua Range utabaki na Corolla?
Mawazo ya kipuuzi kabisa haya, pambana na hali yako ndugu
 
Duhh hatari aisehh kama ni kweli wanafanya hivi kuharibu muziki so bad!
Acha kusikiliza porojo manake ukimsoma vizuri wala haieleweki hoja yake ni nini hasa!!!

Kwa mfano, anasema eti "bila aibu Diamond anamtumia Maromboso!" Sasa ina maana alitaka Maromboso asiingie WCB au shida yake nini hasa??!!

Ukimsoma jamaa ni kama ame-mind Maromboso kupata kuwa label ya WCB na hivyo kuhisi ni mkakati wa kummaliza Aslay! Anachosahau, WCB ni label ya muziki na inasajiri wanamuziki na sio wacheza soka!! Na ajabu zaidi, habari za Maromboso kujiunga WCB ni za muda mrefu... sasa kwanini alalamike leo?! Au ame-panic kutokana na promo aliyopewa Maromboso?!
 
Kwahiyo ulitaka mboso asipate pa kwenda. Halfu mboso na mondi wapo karibu siku nyingi.
Aslay pambana na hali yako. Nyimbo zako zinapigwa sana usitafute kupata huruma ya umma. Wivu tu ulifikiri wenzio hawatapata channels
Unajua watu wanapenda kulia kulia hata pasipostahili! Tena huyu Aslay hapa hapa JF niliwahi kusema watu waache kumvimbisha kichwa... dogo bado sana!! Manake only few weeks ago watu walikuwa wanazungumzia zama za Diamond za mwisho wa Diamond zimefika eti kisa Aslay!!!

Tukauliza hapa ikiwa watu wanafahamu hasa tasnia ya muziki... leo hata miezi 3 haijapita, wanaanza kulia kuhujumiwa wakati nyimbo zinachezwa kama kawaida!
 
Wewe ni mtu mpumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…