Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Achana na issue ya Kapilimba, wenyewe wanajuana
Mzee wetu Said Hamad El Maamry mwenyekiti wa kwanza kabisa wa FAT sasa TFF na mjumbe wa kudumu heshima wa CAF ambaye kwa sasa anasumbuliwa na maradhi ya Mwili pamoja na uzee yupo kwenye maumivu makali akisumbuliwa na maradhi ya kifua, shingo na mkono wa kulia kushindwa kufanya kazi zaidi ya miezi 36, lakini anasema hali hiyo haijamfanya ashindwe kufuatilia mwenendo wa timu ya Taifa, Taifa Stars.
El Maamry ambaye mwaka 1973 kwa mara ya kwanza alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa FAT katika uchaguzi mkuu uliofanyika Tanga anasema licha ya maradhi yanayomkabili sasa bado ana mapenzi na soka, achilia mbali elimu na ujuzi aliona juu ya mchezo huo.
Hivi karibu watoto wake watampleka India kwa ajili ya matibabu yeye pamoja na mke wake ,hivyo wapenzi wa kandanda wote Tz na African kwa ujumla tuendelee kumuombea mzee wetu Kipenzi cha wanamichezo licha ya team kutofanya vizuri lakini tunaburudika na kile tulichonacho
Enzi zake mzee alifanya mengi ndani ya soka la Tanzania...Kila la Kheri mzee wangu na Mungu akupiganie katika uzima ,afya na uhai...