Said Kubenea: Mkataba Wa Richmond Ulisainiwa Na Lowassa Kikwete Akiwa Nje Ya Nchi

Serikali inayowajibika kwa wananchi wake isingekuwa inalialia juu ya sakata hili la Richmond ingekuwa ishachukua maamuzi stahiki kwa wahusika, lkn kwa sababu tuko na Serikali isiyojua wajibu wake kwa wananchi bado inapiga kelele kama raia wengine. Huu ni uthibitisho kuwa ccm imekosa uhalali wa kuwepo madarakani.
 
Inayolialia ni serikali au CHADEMA na gongo zenu bungeni au unaelewa ni juu kelele kwamba Lowassa kaonewa?
 
Wewe mjinga hilo sakata kalileta Mwakyembe au Nassari,acha kujinyea,rudisheni bungeni ndio mtakapoona babu yenu anaenda kunyea ndoo
hv kumbe lina. mamlaka ya kumfunga mtu jela duuuuu. wananchi walalama ,bunge linalalama na serikali ina lalalma nani wakumsaidie mwingine
 
Si mnasema Lowassa alionewa? Pelekeni hiyo hoja bungeni sasa ijadiliwe tena lasivyo ninyi ni wanafiki
Shenzi kabisa,

ccm mko bungeni 70% na mmezunguka tz nzima mkikata viuno kuinadi ilani ya CCM yenye mahakama ya mafisadi alafu leo mnafyata mkia mnaogopa kuipeleka kesi ya Richmond kwenye mahakama ya mafisadi.
 
Hivi mtu ameshakufa anashtakiwa wa nini?
 
Wewe mjinga hilo sakata kalileta Mwakyembe au Nassari,acha kujinyea,rudisheni bungeni ndio mtakapoona babu yenu anaenda kunyea ndoo

Hata akienda hakuna ajabu...Jela is for everyone muhumu haki ...na sio kutuhamishia awamu ya nne tusahau ya leo
 
Huyo fisadi apandishwe kizimbani sasa.. Kinyume na hapo nyie mnaomuacha ni washirika wake..

Hahaha..CCM sijui mna matatizo gani,yani serikali mnaiongoza nyie lakini bado mnalialia!

Nimeipenda sana hii.... Nini tatizo??? Hahaaaaa Mahakama ya mafisadi ipo, kazi yake nini sasa?
Bunge siyo mahakama.
 
Haya, mmeamua wennyewe kufukua makaburi!
 
Lowasa na Richimond,Kikwete na Escrow,wote ni mafisadi sasa tuanze na nani?Wabunge wa CCM waache unafiki uchunguzi uanze upya kuanzia IPTL,, RICHIMOND,na ESCROW.Na wabunge wa CCM, wasikubali kuitwa na chama ili tujuwe mbichi na mbivu.Mwakyembe aache ngonjera zake mchumia tumbo sijawahi ona mnyakyusa wa aina yake.Alikuwa waziri wa sheria na katiba DPP,Mahakama,zilikuwa chini yake.Kwa nini hakuanza mchakato wa kumshitaki EL.
 
Nimeipenda sana hii.... Nini tatizo??? Hahaaaaa Mahakama ya mafisadi ipo, kazi yake nini sasa?
Bunge siyo mahakama.
Wewe hushangai mkuu,yani serikali waongoza wao, bado wemekalia kulalama tu kuhusu ufisadi wa Lowassa..kwanini hawamfungulii mashtaka?
 
Jaribu kutumia akili japo kidogo ! Suala hili halijaibuliwa na Mwakyembe, kaliibua Nasari wa Chadema ! Yule aliyeshikwa na konyagi bungeni. Kumlaumu mwakyembe ni ukosefu wa akili !
 
aweda siku zote hana hoja zaidi ya vioja
 
Jaribu kutumia akili japo kidogo ! Suala hili halijaibuliwa na Mwakyembe, kaliibua Nasari wa Chadema ! Yule aliyeshikwa na konyagi bungeni. Kumlaumu mwakyembe ni ukosefu wa akili !
BAVICHA kawaida yao kujitoa ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…