nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,731
- 4,271
Tangu ameondoka madarakani sijasikia tena polisi wakiuwa wananchi hasa mashabiki na wapenzi wa cham tukufu CHADEMA. Tulizoea kuona Mwema akihalalisha mauaji kwa kusingizia itelijensia n.k. Nawaambia leo hii Kalenga tayari tungekuwa tumesikia mauwaji. Namlaani Said Mwema mpaka mbinguni.