Tangu ameondoka madarakani sijasikia tena polisi wakiuwa wananchi hasa mashabiki na wapenzi wa cham tukufu CHADEMA. Tulizoea kuona Mwema akihalalisha mauaji kwa kusingizia itelijensia n.k. Nawaambia leo hii Kalenga tayari tungekuwa tumesikia mauwaji. Namlaani Said Mwema mpaka mbinguni.
nashindwa kuelewa hv kwani huyu mtu alishastaafu au ameongezewa tena muda? maana jana nilimuona kwenye taarifa ya habari ya ITV akizungumza kuhusu majambazi waliokamatwa ubungo wakiwa na siraha.
Tangu ameondoka madarakani sijasikia tena polisi wakiuwa wananchi hasa mashabiki na wapenzi wa cham tukufu CHADEMA. Tulizoea kuona Mwema akihalalisha mauaji kwa kusingizia itelijensia n.k. Nawaambia leo hii Kalenga tayari tungekuwa tumesikia mauwaji. Namlaani Said Mwema mpaka mbinguni.
nashindwa kuelewa hv kwani huyu mtu alishastaafu au ameongezewa tena muda? Maana jana nilimuona kwenye taarifa ya habari ya itv akizungumza kuhusu majambazi waliokamatwa ubungo wakiwa na siraha.