Lakini wanatuambia inashiriki ligi kuu.Hongera sana kijana Said. I hope utaonyesha umahiri wako ingawa hiyo timu imeshuka daraja msimu huu
Nahisi huwa wanaenda kujiunga na timu zinazoshiriki ndondo cupLakini wanatuambia inashiriki ligi kuu.
Hata tom ulimwengu tuliambiwa kaenda sweden kucheza ligi kuu lakini hatumuoni sijui yupo sweeden ipi.
kuna mwingine tuliambiwa kaenda ligi ya daraja la pili spain lakin sijawahi kumwona hata bench.
Nchi hii kila kitu ni uongo uongo tuu.
Ndemla angebaki tu hapa Bongo, sidhani kama Ulaya wanahitaji viungo wapiga mashuti siku hizi. Kama wakina Himid Mao wameshindwa huko na ubora wao wakudumu National Team sidhani kama yeye ataweza kabisa.
Labda akubari punguzo lake mshahara wake wa hivi sasa ili atokee benchi kwenye timu inayomtaka kumsajili.
Vinginevyo namtakia utalii mwema kwenye taila hilo la Scaninavia.
Ulitaka aende Mwashuiya,haaaa haaaa kumbe chuki zako sio za kisimba na yanga tu,mpaka kwenye maisha binafsiHata mashuti yenyewe anayopiga huwa hayalengi lango bongo kuna mawakala wajingawajinga sana.. why ndemla? Miaka zaidi ya 6 kwenye ligi hana uhakika wa namba kwenye timu yake... bora hata kichuya unaweza sema anaweza kwenda kukimbia na kupiga chenga huko
Ulitaka aende Mwashuiya,haaaa haaaa kumbe chuki zako sio za kisimba na yanga tu,mpaka kwenye maisha binafsi
Hata mashuti yenyewe anayopiga huwa hayalengi lango bongo kuna mawakala wajingawajinga sana.. why ndemla? Miaka zaidi ya 6 kwenye ligi hana uhakika wa namba kwenye timu yake... bora hata kichuya unaweza sema anaweza kwenda kukimbia na kupiga chenga huko
muwe mnafuatilia mambo basi.ULIMWENGU alifanyiwa operesheni Afrika kusini na atakuwa nje ya uwanja kwa miezi sitaLakini wanatuambia inashiriki ligi kuu.
Hata tom ulimwengu tuliambiwa kaenda sweden kucheza ligi kuu lakini hatumuoni sijui yupo sweeden ipi.
kuna mwingine tuliambiwa kaenda ligi ya daraja la pili spain lakin sijawahi kumwona hata bench.
Nchi hii kila kitu ni uongo uongo tuu.
BIBLIA INASEMA HIVI:Lakini wanatuambia inashiriki ligi kuu.