Tetesi: Said Soud na Hamad Rashid kuteuliwa uwakilishi!

magode

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2014
Posts
2,204
Reaction score
3,336
Wanabodi
Salaam;

Kuna kikao kilikuwa kinaendelea huko alipoporwa ushindi seif sharif hamad,kuna makubaliano yamefikiwa hawa jamaa wapewe uwakilishi wa kuteuliwa.sijui lengo la kuwateua litakuwa nini? Labda kukidhi matakwa ya kikatiba ya kuwa na serikali ya umoja wa kitaifa.

Said Soud wa AFP

Hamad Rashid asiye na chama.

Endelea kutega sikio uendelee kupata maajabu ya jecha yanayoendelea...
 
Kama wakikubaliana vizuri waache waunde serikali. Lengo ni kuwatumikia watu na si vingenevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…