Saida Karoli atamani collabo na Diamondplatnumz

Saida Karoli atamani collabo na Diamondplatnumz

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
1476124342207.png
1476124351467.png
1476124365558.png
 
Atulie kidogoooooo

Afurahie kukumbukwa kwanza na kurudi kwenye ramani.
 
Ni sawa ila Video Queen awe Ray C.[emoji23]
 
[emoji1] [emoji1]
Aaah Saida naye!! Sasa ndo akaomba na lift hapo hapo!

Any way najua domo mtu wa watu na hana roho ya kwa nin, ata mfikiria
 
Avunje mkataba wake na yule meneja wake kwanza ndoatafaidika na hichi kichwa (Dangote)
 
Back
Top Bottom