Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Nashauri wasanii waachane na G Nako kumshirikisha, jamaa hachelewi kukufunika kwenye songi lako mwenyewe!Msanii mwanamama Saida Karoli amerudi kwenye game vizuri baada ya kuachia wimbo wa Orugambo, sasa amekuja na wimbo mpya aliowashirikisha vijana wa bongo fleva. Pamoja na yote Saida hajasahau aina ya muziki uliomtambulisha kwenye game wenye mahadhi ya kihaya.
Hongera sana.
Huyo jamaaa hana mfano mbunifu sana hatabirikiNashauri wasanii waachane na G Nako kumshirikisha, jamaa hachelewi kukufunika kwenye songi lako mwenyewe!
Hii nayo muipe promo na kile kidada kimaumbau kiungane kumuinua mwanamke mwenzake hapa ndio tutaona unafiki wao
[HASHTAG]#huyumama[/HASHTAG] ni iron lady sio kwa sauti hii na umri huo hongera saida wetu miriam makeba wa Tanzania.
Kanye ulale james delicious umekopwa nini pole pambana na hali yakoWewe chuki zitakuua
Nini kinakufanya useme hivyo
G nako hakuna chorus aliyofanya ikawa mbaya daaaah noma sana huyu jamaaa