bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Hakuna asiyemjua mwanamama Saida Karoli kutoka na vibao vyake motomoto kama vile Chambua kama Karanga, Kalibatano, Kitobelo, Engozi...nk pia aliwahi kushiriki mashindano ya Kora kupitia kipengele cha nyimbo za Asili.
Yuko wapi siku hizi uyu mwanamama na anajishughulisha na nini siku izii??
Yuko wapi siku hizi uyu mwanamama na anajishughulisha na nini siku izii??