Sawa sawa mkuu nakumbuka alijaza uwanja wa taif mwanamama uyuBado anafanya mziki...yuko mwanza maduka tisa ni mjasiliamali, mwanamuziki yuko Tivol Studio...ambyo n km label inayomiliki wasanii wengi wa nyimbo za asili especially kanda ya Ziwa
tupo nae chimboHakuna asiyemjua mwanamama Saida Karoli kutoka na vibao vyake motomoto kama vile Chambua kama Karanga, Kalibatano, Kitobelo, Engozi...nk pia aliwahi kushiriki mashindano ya Kora kupitia kipengele cha nyimbo za Asili.
Yuko wapi siku hizi uyu mwanamama na anajishughulisha na nini siku izii??