Sitashangaa sana popote napomuona Said Mtanda akivunja utaratibu wa wazi!
Huyu jamaa alishawahi kuja ofisini kwetu kutaka huduma kama mteja!
Kwanza kabisa alikataa kupaki gari yake sehemu ya wateja wa kawaida bali alilazimisha walinzi apite akapaki sehemu ya mkurugenzi!
Pamoja na hayo vielelezo hakuwa amekamilisha lakini alijitambulisha yeye kama RC ataftiwe ufumbuzi nje ya utaratibu!
Hivyo siwezi kushangaa nikiona popote huyu jamaa kavunja utaratibu!
Anapenda sana kutumia madaraka yake hata akiwa nje ya mkoa wa Mwanza!