Saidia kutoa jina kwa mwanangu. Help to name my son

Saidia kutoa jina kwa mwanangu. Help to name my son

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,611
Reaction score
5,009
Salam kweni wakuu,

Nipo nawaza jina la kumpa mwanangu bado nipo alijojo ni jina gani limfae.

Hadi sasa majina yanayonijia ni haya;
1.Magufuli
2.Lissu
3.Trump
4.Durtete
5.Kim Jong un.
6.Makonda
7.Bashite

Maoni yenu tafadhali
 
Huyo mtoto mkapime DNA
Kama unaomba watu wa mtandaoni kumpa jina Kuna mawili
1. Either umebambikwa
2. Mlipeana mimba na mke au yeyote aliye mzaa mtoto bila makubaliano ( bahati mbaya)

Mwite MALYANGILI Bashite
 
Kama lengo lako ni kumtakia laana mwanao basi mpe majina 1, 6 na 7. Mi namchagulia jina hili "IKEMEFUNA OKONKWO"
 
Km wakike muite Janet mana ni wavumilivu sana, wanaweza ishi na mwenye tabia yoyote hata chizi anaweza ishi nae
 
Nashukuru kwa input wamnazoendelea kunipa hasa kwa kuweka na sababu.
 
Back
Top Bottom